Home
Unlabelled
WHAT AN INNOCENT PRAYER
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahaha! nimecheka sana,maskini mtoto hapo wazazi wake utulivu sifuri.
ReplyDeleteanaye yali ni Mwandishi,,, au huyo mtoto kwenye picha,,,
ReplyDeleteMdau Canada.
Kwa ushari tu kwa Michuzi, hii picha na maneno au ujumbe huo chini ambayo mtoto huyo amewazi wa mutu au watu wakubwa vingesingetakiwa kuwepo hapo.Ingekuwa inchi nyingine zenye kumfuata misingi bora na haki za watoto, tayari kungekuwa na patashika juu ya mtu aliye post hii picha na ujumbe huu. Pia michuzi ungeweze kujibu kitimutimu chake. hivyo nashauri tu kuwa ingawa sisi watanzania tunaona nikichekesho lakini watu wengine wanaweza pata maana tofauti.
ReplyDeleteHahaha! Hapo ni Bila Bila.
ReplyDeleteYaani kwanza ungeweka pcha kama hii TMZ na ujumbe wa hivyo . Bill oreilly angekutafuta akipokelewa na Glenn Beck , Hannity akikusubiria na Rush Lumbaugh ndio angeleta habari
ReplyDeletehuyo mchangiaji hapo juu aliyesema ingekuwa nchi nyingine hiyo post ingekuwa kesi , mi nadhani huo ujumbe umemgusa.. messages delivered...
ReplyDeleteacheni mambo hayo kufanya ... hamtosheki!!!
Naungana na mdau wa 3 hapo juu. The little kid is so innocent, she can't even thinks like that! Kwa mtoto malaika kama huyu angeomba labda watoto walio maskini Mungu awape chakula au mavazi ingeleta maana zaidi. Jamani, jaribuni kuoanisha mambo, siyo kila kitu ni kichekesho tu!!!
ReplyDeleteHaloooooww MTAJIJU kama inachekesha au haichekeshi ,kama inawauma jinyongeni mfe, MICHUZI usiwasikilize hao inaonesha MESSAGES DELIVERED... NA SIO PENDING
ReplyDeletenimeipenda kweli hii
Guys, where is ur sense of humour!!?
ReplyDeleteAliyepost alikuwa anataka kufikisha ujumbe kwa njia ya kuchekesha kidogo. Mimi sioni kosa lolote katika hiyo post bali ni kwamba tu inatupa changamoto kwani alichokisema kinatokea sana katika familia zetu.
Asante mdau, ujumbe umefika. Inatubidi tujirekebishe
Baadhi ya wachangiaji wanasema watoto ni innocent (kweli) hawawezi kufikiri kwa upeo huo (sio kweli). Watoto wanafikiri sana usidhani ufikiri wao ni mdogo. Jaribu kushinda na mtoto wa kuanzia miaka mi tatu hivi siku nzima halafu usikilize na kutafakari kila anachoongea.. vingine labda usingetegemea kusikia.
ReplyDelete