Wasanii kikundi cha sanaa cha Nchambwete Daning Group wakionyesha umahiri wao wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Multchoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa mchezo wa soka kwenye Hoteli ya Paradise, Dar es Salaam, juzi.
Kocha Mkuu wa Yanga, Kostadin Papic (kushoto) akibadilishana mawazo na kocha maarufu nchini, Syllersaid Mzirai wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Multchoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa mchezo wa soka kwenye Hoteli ya Paradise, Dar es Salaam, juzi.
Aden Rage akipeana mkono na kocha wa Yanga, Kostadi Papic wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Multchoice Tanzania kwa ajili ya wadau wa mchezo wa soka kwenye Hoteli ya Paradise, Dar es Salaam, juzi. Kulia ni mdau wa soka Benny Kisaka .
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    Kima cha chini cha mshahara wa Mtanzania ni gharama za mwezi kulipia chanell zote za Multichoice. Jamaa wapo very,very expensive sijaona Afrika nzima gharama za juu namna hii na serikali ya CCM kama kawaida KIMYAAAAAAAAA!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2010

    BENNY KISAKA TOKA LINI AKAWA MDAU WA SOKA? HUYU NI MSIMAMIZI WA MAMISS KITONGOJI CHA TEMEKE.MICHUZI PLS GIVE ME A BREAK.KILA FANI INA WENYEWE.UNGESEMA MDAU WA MAMISS SAWA LAKINI SIO MDAU WA SOKA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2010

    Dah namuona hapo mdau wakisiju katulia akilipika jungu!! poa mshikaji usimaind.

    mdau
    Amigo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2010

    Multichoice ni matapeli wanatuibia kweupee. TV inazidi mshahara wa kima cha chini! Sijaona duniani.. Afterall ni satellite TV uuze usiuze signal ni ileile, kwa nini wasipunguze bei wawe na wateja wengi, wapate zaidi kuliko kufanya ionekane TV ya wenye uwezo sana wakati kinachouza hapo ni mpira tuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...