Mrisho Mpoto akighani wimbo wake maarufu wa 'Mjomba' wakati wa uzinduzi huo. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

mwakilishi wa balozi wa Umoja wa Ulaya nchini akizindua maonesho hayo. Karibu na kamera ni Henry Lyimo, afisa habari wa EU ambaye alikuwa anatafsiri 'yai' hilo katia mojawapo ya shughuli za Wiki ya Umoja wa Ulaya nchini
baadhi ya wasanii vijana waliochangia sanaa kwenye maonesho hayo
mwanzilishi wa nyumba ya sanaa na kituo cha kulelea yatima cha dogo dogo centre
sista jean pruitt akijumuika kwenye uzinduzi wa maonesho hayo
Mkurugenzi wa Alliance Francaise Bw. Didier Martin akikaribisha wananchi kwenye uzinduzi wa sanaa ya mural iliyoandaliwa mahususi kuadhimisha wiki ya Umoja wa Ulaya katika upenu wa jengo la IPS jijini Dar jioni hii. Maonesho hayo ya michoro yatadumu katika wiki yote hiyo



Msanii mrisho mpoto akighani kwenye uzinduzi wa maonesho hayo



Mke wa balozi wa Umoja wa Ulaya Mama Clarke akiwa na wadau wengine wakishuhudia



wadau wa EU na wageni wengine waalikwa



Mwalimu wa sanaa Bw. Ernest Mtaya (kulia) akifuatilia uzinduzi wa maonesho hayo ya sanaa, ambayo yeye Mtaya baada ya kuwafundisha watoto walio kwenye maisha magumu kiasi cha 2o hivi, kaamua kuonesha vipaji vyao hapo jengo la IPS jijini Dar








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    Henry Lyimo atakua anatema "yai" sana! Hiyo slang ya kiswahili imenikumbusha mbali sana, nimecheka sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    SANTE SANA SISTE JEAN PRUETT. SOTE TUNAKUPENDA. NYC

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2010

    Hivi hao wa Ulaya nao wanasherehekea Siku ya Afrika?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2010

    HIVI RASTA NI UTAMADUNI WA KITANZANIA? ASILI YAKE NINI NA WAPI? MBONA WANASANAA NA UTAMADUNI WENGI WANAPENDA KUFUGA RASTA E.G MRISHO MPOTO, MGUNGA MWAMNYENYELWA, HUYO JAMAA PICHA YA CHINI KABISA NIMESAHAU JINA LAKE, NA WENGINE AMBAO NAJUA SIO KAMA WASANII WA BONGO FLAVOUR AMBAO NAJUA WANAIGA VITU WASIVYOVIJUA, ILA HAWA NILOWATAJA NAJUA NI WALIMU NA WANAFUNZI WA SANAA PALE CHUO KIKUU, NI WANATAALUMA RASMI WA SANAA NA UTAMADUNI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...