Mrisho Mpoto akighani wimbo wake maarufu wa 'Mjomba' wakati wa uzinduzi huo. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
sista jean pruitt akijumuika kwenye uzinduzi wa maonesho hayo
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Mrisho Mpoto akighani wimbo wake maarufu wa 'Mjomba' wakati wa uzinduzi huo. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Henry Lyimo atakua anatema "yai" sana! Hiyo slang ya kiswahili imenikumbusha mbali sana, nimecheka sana
ReplyDeleteSANTE SANA SISTE JEAN PRUETT. SOTE TUNAKUPENDA. NYC
ReplyDeleteHivi hao wa Ulaya nao wanasherehekea Siku ya Afrika?
ReplyDeleteHIVI RASTA NI UTAMADUNI WA KITANZANIA? ASILI YAKE NINI NA WAPI? MBONA WANASANAA NA UTAMADUNI WENGI WANAPENDA KUFUGA RASTA E.G MRISHO MPOTO, MGUNGA MWAMNYENYELWA, HUYO JAMAA PICHA YA CHINI KABISA NIMESAHAU JINA LAKE, NA WENGINE AMBAO NAJUA SIO KAMA WASANII WA BONGO FLAVOUR AMBAO NAJUA WANAIGA VITU WASIVYOVIJUA, ILA HAWA NILOWATAJA NAJUA NI WALIMU NA WANAFUNZI WA SANAA PALE CHUO KIKUU, NI WANATAALUMA RASMI WA SANAA NA UTAMADUNI.
ReplyDelete