

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa mjomba mpoto si kila sehemu unaingia na hilo gauni lako!!
ReplyDeletemjomba mpoto hiyo jezi yako ni kauke ni kuvae au unazo nyingi ! ushauri wa bure ume unaitinga ukiwa unapanda jukwaani si kila sehemu !! nazani hata ukialikwa bunge unatinga na hiyo hiyo jezi
ReplyDeleteKaka Dullah! Nakuona hapo! Duuuh umenikumbush ambali sana. Safi sana kuona vijana mko matawi ya juu.
ReplyDeleteMPANGO WA ELIMU KWA UMMA JUU YA: MIMI SIELEWI HAPA elimu JUU YA NINI? EBU TUPE HABARI KAMILI BWANA
ReplyDeleteDr Makame anawasilisha Vijana. Serikali ya JK kweli iko juu. Vijana wanapata nafasi za kiutendaji. Vijana wajipange kumrudisha kwa Kishindo Oktoba.
ReplyDeleteAbdullah,
ReplyDeletewacha ukereketwa wa CCM? unafanya comparison na na serikali ya chama gani ambayo haikuwa inawajali vijana? unajua ratio ya vina kwenye serikali ya CCM AU unashabikia tu?
Nahata hivyo, Dr. makame sio kijana. Labdakama kuna definition nyengine ya vijana (above 40yrs) iliyotoka. au labda asiwe Dr makame ninaye mfahamu mimi wa IFM.
ELIMU KWA UMMA JUU YA FURSA NA CHANGAMOTO ZITOKANAZO NA MTANGAMANO [INTEFRATION] WA AFRIKA MASHARIKI.
ReplyDeleteWIZARA IMEANDAA MPANGO KWA NIA YA KUELIMISHA UMMA MZIMA JUU YA MAENDELEO YA MTANGAMANO.
MTANGAMANO HUU UNAMGUSA KILA MTANZANIA NA NI MUHIMU WATANZANIA WAKAJIPANGA ILI WAENDANE NA WAKATI.
Dr Makame tumemaliza nae Kidato cha sita Tambaza 1998. Hawajapishana Umri na Mheshimiwa Zitto Kabwe, kwani walikuwa Pamoja Zanzibar University na National Youth Forum. Kwa ninavyofahamu mimi, sio tu kama hajatimia miaka 40, bali pia hajakaribia.
ReplyDeleteKwa taarifa niliyoipata, Mwaka aliostaafy Rais Mwinyi, ndio mwaka aliomaliza Dk Makame kidato cha 4Mgulani
ReplyDeleteDr Makame is less that 40. Prolly 34 -35 years old.
ReplyDeletemzee fabi hongera sana,pitia kwa dada irene kuna cret yako moja tuendelee na sherehe.
ReplyDeleteAisee 'Mjomba' huyo anayekushauri kuhusu masuala ya mavazi inabidi umbadilishe mara moja! Yaani umetokea kiajabu ajabu tu. Tena umbadilishe kwa kumdai akulipe fidia ya kutoa ushauri potofu!
ReplyDeleteHONGERA DK! MAKAME
ReplyDeleteMie sikujua kama ni mjomba! huo mkono mmmmh! hilo vazi halilipi kabisa.
ReplyDeleteHata wewe uwe unajiangalia kwenye koo kabla ya kutoka nje.