Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Kamala akiwasili kwa uzinduzi wa Mpango wa Elimu kwa Umma juu ya Utangamano ukumbi wa Karimjee hall jijini. Anayemlaki ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mh. George Lauwo na wengine ni wakurugenzi toka shoto Balozi Job Msimba, Bi. Joyce Mwakisyala na Dk. Abdullah Makame.
Msanii Mrisho Mpoto a.k.a 'Mjomba akiongea na viongozi wa Wizara ya Masuala ya Afrika Mashariki

Burudani ilitolewa na Mjomba Band
Juu na chini ni wadau toka nchi zote za Afrika Mashariki waliohudhuria







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2010

    sasa mjomba mpoto si kila sehemu unaingia na hilo gauni lako!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2010

    mjomba mpoto hiyo jezi yako ni kauke ni kuvae au unazo nyingi ! ushauri wa bure ume unaitinga ukiwa unapanda jukwaani si kila sehemu !! nazani hata ukialikwa bunge unatinga na hiyo hiyo jezi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2010

    Kaka Dullah! Nakuona hapo! Duuuh umenikumbush ambali sana. Safi sana kuona vijana mko matawi ya juu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2010

    MPANGO WA ELIMU KWA UMMA JUU YA: MIMI SIELEWI HAPA elimu JUU YA NINI? EBU TUPE HABARI KAMILI BWANA

    ReplyDelete
  5. Dr Makame anawasilisha Vijana. Serikali ya JK kweli iko juu. Vijana wanapata nafasi za kiutendaji. Vijana wajipange kumrudisha kwa Kishindo Oktoba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2010

    Abdullah,

    wacha ukereketwa wa CCM? unafanya comparison na na serikali ya chama gani ambayo haikuwa inawajali vijana? unajua ratio ya vina kwenye serikali ya CCM AU unashabikia tu?

    Nahata hivyo, Dr. makame sio kijana. Labdakama kuna definition nyengine ya vijana (above 40yrs) iliyotoka. au labda asiwe Dr makame ninaye mfahamu mimi wa IFM.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2010

    ELIMU KWA UMMA JUU YA FURSA NA CHANGAMOTO ZITOKANAZO NA MTANGAMANO [INTEFRATION] WA AFRIKA MASHARIKI.

    WIZARA IMEANDAA MPANGO KWA NIA YA KUELIMISHA UMMA MZIMA JUU YA MAENDELEO YA MTANGAMANO.

    MTANGAMANO HUU UNAMGUSA KILA MTANZANIA NA NI MUHIMU WATANZANIA WAKAJIPANGA ILI WAENDANE NA WAKATI.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2010

    Dr Makame tumemaliza nae Kidato cha sita Tambaza 1998. Hawajapishana Umri na Mheshimiwa Zitto Kabwe, kwani walikuwa Pamoja Zanzibar University na National Youth Forum. Kwa ninavyofahamu mimi, sio tu kama hajatimia miaka 40, bali pia hajakaribia.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2010

    Kwa taarifa niliyoipata, Mwaka aliostaafy Rais Mwinyi, ndio mwaka aliomaliza Dk Makame kidato cha 4Mgulani

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2010

    Dr Makame is less that 40. Prolly 34 -35 years old.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2010

    mzee fabi hongera sana,pitia kwa dada irene kuna cret yako moja tuendelee na sherehe.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2010

    Aisee 'Mjomba' huyo anayekushauri kuhusu masuala ya mavazi inabidi umbadilishe mara moja! Yaani umetokea kiajabu ajabu tu. Tena umbadilishe kwa kumdai akulipe fidia ya kutoa ushauri potofu!

    ReplyDelete
  13. HONGERA DK! MAKAME

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 24, 2010

    Mie sikujua kama ni mjomba! huo mkono mmmmh! hilo vazi halilipi kabisa.

    Hata wewe uwe unajiangalia kwenye koo kabla ya kutoka nje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...