Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Selemani (kati), akiwa na mshindi wa pili Glady Mollel (kulia) aliyeweza kujinyakulia taji la kuwa Balozi wa hoteli ya Naura Springs ya jijini Arusha pamoja na mshindi wa tatu, Bertha Dennis (kushoto) aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Arusha City Center Talent.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...