Home
Unlabelled
ankal vekesheni ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmmh kamichu acha hizo... tunajua ulaya huku unakodi tu gari lolote ni uwezo wako tu. hii mambo ya kusema ulishushe mmmmh unanifurahisha sana
ReplyDeleteHivi kumbe mablog na yenyewe yana pesa hivi.... basi nami nalianzisha langu www.kiyungifundikira.blogspot.ca karibuni sababu nami nahitaji usafiri, bado nadandia usafiri wa watu.
ReplyDeletekamichu unaendesha kweli au mapozi tu? manake watu wakija ulaya huwa wanaogopa sana barabara nyingi na kubwa magari ni yanakimbia haswa, tunaona hapa hapa kwenye blog yako unavyotuonyesha barabara za nyumbani ndogo so hebu tufafanulie hahaha
ReplyDeletenivizuri ulivyotoa hichi kichekesho kwa leo sasa lini unarudi tena marekani?
tehe tehe tehe
ReplyDeletemichuzi utakula tikiti hapo!
vaa mkanda wewe!
hupo tanga-nyika hapo!
au ni photo op!
tehe tehe tehe
Hongera Ankal Michuzi.Ila kwa nini usingenunua Right Hand ? Mimi nahisi Left HanD itakutesa sana huku bongo.
ReplyDeleteHalafu huo mchuma unakula mafuta kweli ya 1700/= per little.!!.
Nicholas,Amsterdam
ankal wewe ni mfanyakazi wa serikali una TAX EXEMPTION chukua AUDI A6 hio usiogope hao TRA.
ReplyDeleteTBL Oyeeee.
ReplyDeleteNamimi ngoja nianzishe Blog yangu, sikubali. Najua nitapata wadhamini tu, kama TBL na wengineo kede kede.
Jichunge sana na TOTOZ, si unajua tena? Isitoshe HIV rate iliyopo inatutosha Watanzania.
ooooyaaa we ankal seatbelt iko wapi?
ReplyDeleteHapo ni wese tu matatizo na vidimbwi vya mitaani, ila mchuma poa. Ila kabla ya kutoka ktk "P" inabidi uvae mikanda kwani "askari" wa traffic police (!) hawatasikiliza kuwa wewe ni mdau , hujui lugha yao au kuwa mwana CCM!
ReplyDeleteAnkal, unadandia mapipa kama JK na wasaidizi wake ???!!!!??, ama kweli nyie wenzetu ndio mnaifaidi hiyo nchi kisawasawa.
ReplyDeleteKamua kamua Ankal, acha sie machokoraa tuendelee kuumia kwa ajili yenu.
Ankal, una leseni ya kuendeshea gari ya huko Germany? Kuwa mwangalifu na usijaribu kuingia highway watakumalizia hukohuko.
ReplyDeletekaka angalia trafic wa huku hawapewi elfu mbili, kama ni mbaya inakuwa mbaya,
ReplyDeleteankal kijiweni watakukoma
ReplyDeleteANKO KWANI UNA LESENI YA KUENDESHA GARI ULAYA?AU UMEPIGA PICHA TUU..
ReplyDeleteNdinga yenyewe mbona left hand drive? Bongo watakugonga siku hiyo hiyo tu.
ReplyDeleteWambie wakuwekee right hand drive.
Mh..Ankal kweli si mchezo...naona vitrip kila mwezi..!Lakini anko kurudisha gari nyuma(Reversing) si madereva tunatakiwa kutumia vioo vya pembeni(Side mirrors)..Mbona wewe umegeuka kabisa..teh tehe ee..!Ankal tupe bei ya michuma kama hiyo hapo..naona AUDI ya nguvu.
ReplyDeleteDuh..Hongera Ankal..Kitu cha ukweli kabisa hicho
ReplyDeleteAnkal !teh! teh !
ReplyDeletehili ndinga limekufit we acha tu!
lakini FFU tutaombaga lift
Ankal unaleseni ya ulaya au ya madafu? sio unagusagusa vyombo vya ulaya.vinaitaji leseni ya EU sio ya madafu watakupiga bao njiani..
ReplyDeleteah wp ankal. Hebu tuambie ukweli kama we ni papa mkubwa au mdogo maana hio Aud si mchezo mkwanja wake yakhee
ReplyDeleteduh naona una reverse mwenyewe umegeuka mzima mzima sasa vioo vina kazi gani???
ReplyDeleteankal usitutie aibu hizo gari za ulaya zina camera nyuma ukiweka reverse automatical camera zinawaka , utakata shingo hiyo , hapo sio bongo , then barabarani unatakiwa uwe speed , ushazoe bongo foleni huku unaenda speed ya 5 KMPHS utaweza huko ??? fanya urudi tunakuhitaji huku tz sana , wasije wazungu wakakutoa kafara huko ...
ReplyDeletendau
kariakoo
ankal kazi unayo hiyo gari ni left hand na barabara za ujerumani nazo ni left hand sasa ushazoe bongo , usije ukakutana na lori uso kwa uso , rudi fasta bongo
ReplyDeleteAcha hizo Michuzi, left hand tuachie wenye!
ReplyDeletehiyo gari inakunywa mafuta kama kichaa ukiileta bongo na foleni zetu hizi utafirisika mapemaaa a.k.a UTAFULIA
ReplyDeleteAnkal umependeza sana
ReplyDeleteKwanini unawaogopa hao Trnanihii? We njoo nalo utajukuja saidiwa kuwapiga changa la macho. Weye si mtoto wa mjini bwana....
unaangalia nyuma ndio unaweka reverse gear au unaweka reverse gear ndio unaangalia nyuma?
ReplyDeleteLooking nice ankal vuta mndinga huo Audi ni gari nzuri sana na ngumu kwa bongo inakufaa sana. Naona ni left hand lakini kwa bongo ni tambarare right?
ReplyDeleteHongera kwa mchuma wa nguvu!
Ankal Salam!! Hongera kw Hutus dochevele!! Ankal mi naomba tu unijibu mjomba wangu mbona nimetuma post hutaki kuitoa? Mi nilijua ankal unawakilisha watanzania, nikajua utatoa post yangu!! Lakini pia Kama unakuwa umeamua kutoirusha post ni vizuri basi ukamtumia email mtumaji ikamueleza kuwa bahati mbaya hutaweza kuirusha post yake kwa kadhaa wa kadhaa! Ni ustaarabu tu ili mtu Kama anaweza kufanya editing ya post yake ili akutumie tena basi afanye hivyo! Kuliko kuichunia na kukaa kimya mtu anaweza kuhisi wewe ni mbaguzi!! Pia ankal nakuomba usiogope kurusha posts ili mradi hazina matusi!! Tushirikiane ankal tuijenge nchi yetu, wewe una watoto nami pia basi tujaribu kuwatengenezea watoto wetuanarudi Tanzania ya kesho!! Ahsante na pia vekesheni njema dochevele. Ni Mimi Phillip kipokola!!
ReplyDeleteHaya wajuzi nipigieni hesabu.
ReplyDeleteMie nipo hapa ukerewe, na nina mdudu kama huu wa ankal,bei sterlingi sita alfu. Nataka kuushusha bongo, itanigharama kiasi gani,kwa ujumla kutoka ukerewe mpaka Ilala mbele ya kizingiti cha mjomba Ali
Ankali mpaka hapo kama hujapata ticket basi tena sijui kama ulikumbuka kufunga mkanda?
ReplyDeleteUkicheki huo ufunguo unaonesha gari imezimwa. Inabidi uipige stati kwanza mkuu!
ReplyDeletewee mwanaume una visa?!!
ReplyDeleteau ndo kuuza nyago kwa totozz za mjini,hahahaa hhahaa u made my day
heheh gari la balozi wa tz ujerumani, kakuazima.
ReplyDeleteMdau wa Ukerewe, Kwanza tupe adress ya Mjomba Ali Ilala, Tuanze kumrembulia macho mapema kabla kitu hakijafika!!
ReplyDeleteWEEEEEEEEEE HUWEZI KUPATA HIYO KWA £6000, YA KWAKO NI SI YA AINA HIYO, NA ITAKUWA INAMIAKA ZAIDI YA 8 NA KUENDELEA, CHINI YA MIAKA 5 UTAULIZWA ZAIDI YA £20000 NA SI YA AINA HII
ReplyDeleteMimi nakuomba ankal chonde chonde mtafute Da Sherry umjulie hali hata kama yuko shimoni mfate utupe ukweli maana wengine bado haijaingia akilini ile ishu, sasa hivi wewe ndo macho yetu huko tunakuaminia! naamini hata mama atafurahi na kuridhika akipata data kutoka kwako!
ReplyDeleteSHIME SHIME ANKAL MSAADA KIZINGITINI HAPO!!
Ankol hapo umetudanganya, uo mchuma umeingia tu car rental ili uzunguke nayo hapo mtaani wakati wa kurudi bongo unaurudisha, we mjanja hata macredit card ya reservation unayo. Ukweli hiyo ndinga hujaitungua umekodi. But u looking fantabulous
ReplyDeleteHii Mashine ni ya Abubakar Liongo.Nilishamuona nalo mwezi uliopita.
ReplyDelete(US Blogger)
Hivi Michuzi ni wakati gani unawajibika? maana kila siku uko mitaani, unabomoa maisha tu na mshahara unapata, hivi nyie si ndio mnaosababisha nchi kurudi nyuma? Obama na wasaidizi wake hawazuki kama wewe na kina ... kama ni mikopo mnatatuta basi tungekuwa tumeshatajirika na kunifaika. Jamani mnachekea tuuu hata visivyofaa kuchekewa, basi ficha kidogo mizunguko yako
ReplyDeleteankali mambo vipi?
ReplyDeletehalfu kaka michuzi a.k.a misupu watu wamekushtukia wewe ni m'goverment wale jamaa wa miwani mieusi 'usalama wa taifa wewe'
mh ile baloon uloenda nayo mbeya je??
hii blog ni danganya toto tu!!
kuweni makini michuzi anapeleka ripoti tu!!
mdau
jiang chen
Mdau wa jiang cheng Kumbuka hii blog ni ya watu wote hakuna kujali kazi unayofanya ama muajiri aliyekuajiri na siyo blog ya sirikali... naona sasa watu wanaanza kuichimba blog yetu ya jamii!!!Wadau tupo gado kuendeleza libeneke -- ikalaga baho na hayo mawazo ya kifisadi (dRU)
ReplyDeleteAnkal, mbona mlango wa Abiria haujafungwa?
ReplyDeleteDu umewapata kweli wabongo kwa hilo
ReplyDeleteNamba ya gari ni NW-JM-70, maana yake ni kwamba hii gari inatoka kijiji kimoja hapa kinaitwa Neustadt an der Weinstrasse (NW ) kipo karibu na mji wa mannheim na kutoka Frankfurt ni kama kilometa 90 hivi na mwenye gari kama alipenda anaitwa majina yanayo anza na JM na amezaliwa mwaka 70 (kama alipenda kuweka hivyo ).
Kwa hiyo hapa ujerumani kuna namba ya simu mtu yoyote yule anaweza kupiga simu hiyo na akiwa na namba ya gari NW-JM-70 ana ambiwa mwenye gari hiyo ni nani na anapewa mbaka adress yake,kama ni gari ya kukodi mtu una ambiwa kila kitu, na siyo hiyo tu mtu hapa ukifanya ajali na kukimbia,jamaa wakiona namba yako wanakufuata mpaka mlangoni, siyo mambo ya tz namba zimekuwa ngumu kiasi kwamba mtu kabla huja angalia namba mwenyewe katoweka.
Mdau-Bonn
haki ya Mungu ankal we ni fix uliingia humo ndani kupiga picha tu yani hata hiyo rivasi hukurudi ati ukaweka na koti juu ya kiti ili tuamiani duu kweli akili zako changanya na za mbayuwayu kwi kwi kwiiii ila kwa kweli ulipendeza saaana utadhani unaenda kufunga ndoa!
ReplyDeleteankali kwa sifa na uongo?unaongoza.....
ReplyDeletehapo unataka kurusha watu roho tu!
vaa ile t'shirt basi''the best of u"
jieng chen