Charles Hilary wa BBC idhaa ya kiswahili akibofya
kuandaa mambozzzz ya kombe la dunia ambapo BBC hutangaza laivu na kusikika kila mahali kupitian pia kwa washirika wake kama vile Radio One Stereo kwa hapa nyumbani. Hivyo kina akina sie tusio na luninga dudu proof 277 inatosha kufuatilia mipambano sauzi
Charles Hilary akiwa kazini Sauzi
Salim Kikeke na Charles Hilary wakisubiri mpambano uanze
Salim Kikeke na Charles Hilary wakijichanganya na wadau

Haya na mengine mengi tembelea libeneek la BBC Swahili
BOFYA HAPA





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2010

    Hongerenilakini hao vijana wajiendereze kidogo wako uzunguni hapana mpira pekeyake ,sababu nimesikia watu waliokutana nao wanasema kimombo ni mmmmm we acha tu mwaya.Chales jiendereze baba,kupiga domo mpaka rini

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2010

    Nyinyi vijana hongereni rakini mujiendereze kidogo na kimombo muwachege domo.hilari nasikia kimombo ni vurugu kabisa kazana uko uzunguni bwana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2010

    Hivi Charles Hillary alikuwa anapendelea timu gani Bongo - SIMBA, YANGA AU PAN AFRICAN ( maboni wa town) ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2010

    hahahahaha NI KWELI BANA; ENGLISH YA CHARLES HIRALY NI TOFAUTI NA UKUBWA WA JINA LAKE TENA YUPO BBC; VIPI TENA?????????????

    NENDA BRITISH COUNCIL KUNA ENGLISH COURSE, ACHA KUKIKANUMBALIZE KIZUNGU;

    KANUMBALISM BIG BROTHER-ENGLISH, I am opening and I am closing, badala ya I am fasting, ulikuwa mwezi mtukufu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2010

    Wewe mdau namba moja na mbili (ni yule yule) wacha ushamba Charles Hillary ni wa zamani, mtangazaji mahiri na kimombo hakimpi shida. Yeye anatangaza kwenye Idhaa ya Kiswahili kimombo cha nini?

    Wewe mwenyewe hata hicho Kiswahili tu kinakupiga chenga, usicheke wenzio!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2010

    nani aliyewambia kuongea kingereza ndio maendeleo acheni ushambo huo ndio maana ameapply kazi kwenye bbc kiswahili sio bbc in english.kama yeye ni mzuri kwenye kazi yake sioni shida hapo hata kama hajui kiingereza.wangapi wanaongea kifaransa,kijerumani.kichina,kijapani,kispanish n.k hawajui english na wanamaendeleo.mdau texas

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2010

    Nyambaf. Hata heshima hamna? Wewe unayejua english kaombe kazi BBC.

    Katika maisha kujua na kupata ni vitu viwili tofauti. Pia english ni lugha yetu ya 4 hivi.

    Kaka kula kuku na wanga chongeni sana tu ila nafasi yake hamtopata ninyi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2010

    Watu wengine mnachunguza mambo yasiyo hata na maana ndio maana hatuna maendeleo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2010

    Babu watoto sasa wanaanza utani , wanasema English imeenda holiday hahahaha yaani ubao mweupe na chaki nyeupe hii sasa balaa. inabidi ujikusanye na kina Ali Kiba, Mr Nice, Ali choki,Juma Kaseja, Asha Baraka, Aisha Madinda, Jay Dee (jide) na mbunge wa Kinondoni Mr nanii oooppss bila kusahau na mimi tuanze class za english course sinzaaaaaa.
    mdau Pakacha.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2010

    Wewe mdau unaemwambia wmenzio ajifunze english nawe pia unaende kozi ya kiswahili nyamafu mkubwa kwanza ww unaonekana ni wivu unakusumbua nani alikwambia amejiriwa bbc ali akatangaze kenglish? amejiriwa sababu ya kisahili chake n isitoshe hichi kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha nyingene, cha muhimu ni ujuzi wa mtu katika fani yake. so acha ujinga.........mnafiki mkubwa msonyo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 21, 2010

    ....Mshkaji yuko BBC Kiswahili na hilo ndio eneo lake la kujidai, mnataka nini zaidi. Kipi hapo cha kuendelezwa(kiswahili au kiingereza?) mmejaa mawazo ya kikolonikoloni tu.Ajue kiinglish afanyie nacho nini? kAZI YAKE ANAIJUA, MWAJIRI ANAMLIPA....SASA NINI CHA ZAIDI. JIFUNZE WEWE UNAEKIHITAJI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...