kuandaa mambozzzz ya kombe la dunia ambapo BBC hutangaza laivu na kusikika kila mahali kupitian pia kwa washirika wake kama vile Radio One Stereo kwa hapa nyumbani. Hivyo kina akina sie tusio na luninga dudu proof 277 inatosha kufuatilia mipambano sauzi



Haya na mengine mengi tembelea libeneek la BBC Swahili
BOFYA HAPA
Hongerenilakini hao vijana wajiendereze kidogo wako uzunguni hapana mpira pekeyake ,sababu nimesikia watu waliokutana nao wanasema kimombo ni mmmmm we acha tu mwaya.Chales jiendereze baba,kupiga domo mpaka rini
ReplyDeleteNyinyi vijana hongereni rakini mujiendereze kidogo na kimombo muwachege domo.hilari nasikia kimombo ni vurugu kabisa kazana uko uzunguni bwana
ReplyDeleteHivi Charles Hillary alikuwa anapendelea timu gani Bongo - SIMBA, YANGA AU PAN AFRICAN ( maboni wa town) ?
ReplyDeletehahahahaha NI KWELI BANA; ENGLISH YA CHARLES HIRALY NI TOFAUTI NA UKUBWA WA JINA LAKE TENA YUPO BBC; VIPI TENA?????????????
ReplyDeleteNENDA BRITISH COUNCIL KUNA ENGLISH COURSE, ACHA KUKIKANUMBALIZE KIZUNGU;
KANUMBALISM BIG BROTHER-ENGLISH, I am opening and I am closing, badala ya I am fasting, ulikuwa mwezi mtukufu
Wewe mdau namba moja na mbili (ni yule yule) wacha ushamba Charles Hillary ni wa zamani, mtangazaji mahiri na kimombo hakimpi shida. Yeye anatangaza kwenye Idhaa ya Kiswahili kimombo cha nini?
ReplyDeleteWewe mwenyewe hata hicho Kiswahili tu kinakupiga chenga, usicheke wenzio!
nani aliyewambia kuongea kingereza ndio maendeleo acheni ushambo huo ndio maana ameapply kazi kwenye bbc kiswahili sio bbc in english.kama yeye ni mzuri kwenye kazi yake sioni shida hapo hata kama hajui kiingereza.wangapi wanaongea kifaransa,kijerumani.kichina,kijapani,kispanish n.k hawajui english na wanamaendeleo.mdau texas
ReplyDeleteNyambaf. Hata heshima hamna? Wewe unayejua english kaombe kazi BBC.
ReplyDeleteKatika maisha kujua na kupata ni vitu viwili tofauti. Pia english ni lugha yetu ya 4 hivi.
Kaka kula kuku na wanga chongeni sana tu ila nafasi yake hamtopata ninyi
Watu wengine mnachunguza mambo yasiyo hata na maana ndio maana hatuna maendeleo.
ReplyDeleteBabu watoto sasa wanaanza utani , wanasema English imeenda holiday hahahaha yaani ubao mweupe na chaki nyeupe hii sasa balaa. inabidi ujikusanye na kina Ali Kiba, Mr Nice, Ali choki,Juma Kaseja, Asha Baraka, Aisha Madinda, Jay Dee (jide) na mbunge wa Kinondoni Mr nanii oooppss bila kusahau na mimi tuanze class za english course sinzaaaaaa.
ReplyDeletemdau Pakacha.
Wewe mdau unaemwambia wmenzio ajifunze english nawe pia unaende kozi ya kiswahili nyamafu mkubwa kwanza ww unaonekana ni wivu unakusumbua nani alikwambia amejiriwa bbc ali akatangaze kenglish? amejiriwa sababu ya kisahili chake n isitoshe hichi kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha nyingene, cha muhimu ni ujuzi wa mtu katika fani yake. so acha ujinga.........mnafiki mkubwa msonyo
ReplyDelete....Mshkaji yuko BBC Kiswahili na hilo ndio eneo lake la kujidai, mnataka nini zaidi. Kipi hapo cha kuendelezwa(kiswahili au kiingereza?) mmejaa mawazo ya kikolonikoloni tu.Ajue kiinglish afanyie nacho nini? kAZI YAKE ANAIJUA, MWAJIRI ANAMLIPA....SASA NINI CHA ZAIDI. JIFUNZE WEWE UNAEKIHITAJI!
ReplyDelete