TANZANIA YOUTHS AGAINST ROAD ACCIDENTS (TAYARA) NI TAASISI MPYA ISIYO YA KISERIKARI(NGO) YENYE LENGO LA KUWAANDAA VIJANA WA KITANZANIA NA HATA WASIO WATANZANIA KATIKA VITA DHIDI YA AJALI BARABARANI KWA KUIELIMISHA JAMII MATUMIZI MAZURI NA BORA YA BARABARA ZETU.
ILI KUFANIKISHA MALENGO YETU TUMEANDAA KITABU KIZURI SANA AMBACHO TUNGEPENDA KIWAFIKIE WAENDESHA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI, WAPANDA BAISKELI, NA WATEMBEA KWA MIGUU KOTE TANZANIA. TUNATAFUTA MDHAMINI/WADHAMINI ILI KUCHAPISHA VIJITABU HIVYO KWA WINGI.
TUKO TAYARI KUDHAMINIWA KWA MASHARTI YA KUGAWANA ASILIMIA BAADA YA KUTOA GHARAMA ZA UCHAPISHAJI.
MAWASILIANO: Mobile: 0718 861265
MAWASILIANO: Mobile: 0718 861265
kaka michuzi mbona hutufahamishi kifo cha manute bol mwafrica aliyekuwa NBA miaka ya 90 alikuwa mrefu kushinda hashim yeye ni futi 7.7 kafa kwa kidney failure
ReplyDeleteUmeshaangalia uwezekano wa self publishing?
ReplyDeleteYou real don't need wadhanini in this day and age. Kuna sites zinafanya for free then (pay per sale) or for a small upfront fee. Ila hisi sites kazi yako kubwa ni kukitangaza kitabu chako. Kama ni kizuri kitajiuza chenyewe la sivyo ni juhudi yako ndio italipa..
Ungetumia hizi sites for the first edition halafu ukishapata income kidogo ndio the second edition unatumia makampuni ili uweze kureach more people through bookstores....
Here are some useful links...
Good luck and HTH
Bowker
E-booktime
ISBN
Global publishing
ISBN NUMBERS
1.wananchi tushirikishwe pia katika
ReplyDeletekuchangia mawazokatika hicho kitabu.
kwani ajali zimewagusa watu wengi na
zinaendelea kutugusa.
2.Michezo ya Kuigiza ya luninga na Radio isisahaulike pia,kuzingatia
na Literacy rate-wengine hatujui
kusoma na wala hatuna utamaduni huo,
n.k