Vodacom Miss Mwanza Chibo Deogratius (kati) akiwa amepozi na mshindi wa pili Anastazia Deogratius (kulia) na mshindi wa tatu Irene Mbwambo. Shindano hili la Vodacom Miss Mwanza lilifayika wikiendi hii katika Klabu ya Yatch Jijini Mwanza
Washiriki wa Vodacom Miss Mwanza wakifungua paziaChibo Deogratius katika vazi la ufukweni



Hwa kweli wana quality za umiss warefu na shepu zao ziko kiju juu sio wale wengine tunaona wafupi, cellulite kibao...
ReplyDelete