Waziri Philip Marmo akielezwa mambo kuhusu madhara ya dawa za kulevya







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2010

    WASTE OF TIME.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2010

    KUKATAZA MIRUNGI NI UPUUZI MTUPU WA MREMA, MIRUNGU HUKU UK, HOLLAND NK NI FREE BADALA YA KUTAFUTA NJIA YA KUITOA NCHI KTK UMASIKINI MNAPOTEZA TIME AND MANPOWER KWA UPUUZI TU.
    BONGO TAMBARARE HATA KAMA UNA HELA

    KWANIN NCHI ISIANGALIE KUPUNGUZA MORTALITY RATE AMBAYO NI KUBWA KULIKO YA UK MWAKA 19O1

    BONGO HEALTH SERVICE NI STUPID TO ZERO, ANGALIA CUBA HAWANA MADINI, GAS AU ENOUGH LAND LAKINI NI YA PILI DUNIANI KWA HUDUMA ZA AFYA AFTER CANADA EVEN ON TOP OF USA

    UZALENDO UMENISHINDA BONGO SIRUDI NG`OO

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2010

    Kweli waste of time. Tungeandamana namna hii kupiga vita rushwa basi tungefika mbali.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2010

    Chat ya Bangi inashuka na ya Heroin inaongezeka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2010

    Nyie wadau wa juu wote ni wapumbavu sana sana. Sijajua kama kuna watu wajinga kiasi chenu. Mnaona UK sijui Holland ndio bora sana. Yani mnashindwa kujua madhara ya madawa ya kulevya? Hata huko mlioko wanayapiga vita. Kukaa Holland si Tanzania. Mbona hutaji nchi nyingine zinazopinga hayo madawa. Wapumbavu sana. Akili zenu ni urooojooo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2010

    Wewe anony wa Mon Jun 28, 10:34:00 am akili zako ndio Urojoooooo....!!. Kama kweli hii tume inafanya kazi kazunguke kawe sokoni, sinza makaburini maeneo ya stendi ya mkoa hasa upande wa ubungo maziwa karibia kabisa na stendi ndio utajua kama hii so called Tume sijui Engineer mkuu sijui Maabara kuu inafanya kazi ama wanapoteza muda.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2010

    wewe mdau uliyetoa kashfa zako kwa walioko nje ya nchi, inaonekana jinsi gani ulivyo mpumbavu bora ungekaa kimya.Bangi sasa ni mojawapo ya dawa watu wanafanya research usiku na mchana na wameona mahitaji yake Leo wewe na hao mambumbumbu wa huko juu wanapiga kelele na bangi wakati wanakusanya kodi za viwanda vya sigara zenye madhara ya wazi tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2010

    Hizi Tume zao wanaanzisha kupoteza Muda tu wa kujipatia kazi zao na kutaka misaada ya pesa. Toweni Mfano kwanza mtuwekee Hapa ndio kitaeleweka. Kweli Somalia Njaa imezidi mpaka Kilimo cha Mirungi hakipo tena? au ndio wametuzidi wao wamekomesha?

    Tanzania wanataka Kuiga USA kula deal na zile Nchi Za South America wanaachia Unga wanakamatiwa Airport marekani wanajifanya Madawa wanateketeza kumbe wanauza nao USA ili watu Compton Brooklyn huko watu Wa Nje na Weusi wazidi kuteketea.... Bora wenzetu wameendelea Sisi ndio tunakufa zaidi huku.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2010

    kwa kweli huko nyumbani hamna kazi y kufanya baadhi ya viongozi sasa mnaandama na madawa ya kulevya vingine hamvioni angalieni hapo nyumbani uchumi ulivyoshuka,mabarabara,na mazingara ya nchi machafu yaan tafuteni solution.
    waste of time huku ulaya bangi nikitu cha kawaida poleni sana viongozi wetu!!wa kibongo hamna la kufanya

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2010

    Anon June 28 10/34/00
    Soma hoja uelewe. Hujaambiwa jamaa anafagilia madawa ya kulevya, anazungumzi mirungi. For your info, pombe ina madhara zaidi kiakili,meaning anayekunywa pombe analewa zaidi ya mtafuna mirungi, kisaikolojia and even addiction wise pombe ni balaa kuliko hata mirungi. Mirungi irudishwe tu ili nchi iingize fedha za kigeni. Mashamba makubwa sana Hedaru yapo tuuuuu hayana cha kulimwa coz yalikuwa ya mirungi.
    Kenya wanaingiza fedha kibao kwa kuuza Mirungi nje ya nchi.Sioni shida ya kuuza mirungi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...