Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinbduzi Dk Amani Abeid Karume, akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka Zanzibar National Chamber of Commerce Industries and Agriculture (ZNCCIA) katika Ukmbi wa Salama Hotel, Bwawani, ambapo mkutano huo utakuwa na Uchaguzi wa kumpata Rais mpya wa Jumuiya hiyo. Kulia ni Rais wa Jumuiya hiyo anayemaliza muda wake,Abdallah Abass na (kushoto) ni Waziri wa Biashara,Uwekezaji na Utalii, Mh. Samia Suluhu Hassan. Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2010

    hizi degree za kupewa kila mtu atajiita Dr lakini je wamefanya nini? I am proud here is USA Dr. is not a big deal!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...