JK akimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kiaro aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza leo asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara fupi ya siku mbili kukagua shughuli za maendeleo ikiwemo kukagua ujenzi wa Barabara ya Usagara hadi Geita. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
JK akimsikiliza kwa makini Jenerali Kiaro

Maongezi yananoga





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2010

    mwenyenzi mungu akupe nguvu upone mapema baba...nakumbuka ulikuwa rafiki wa baba yangu..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2010

    hawa walikuwaga pamoja kule mondule enzi za mwalimu? nasikia JK naye ni soja

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2010

    Nakumbuka Jenerali Kiaro alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati nipo JKT kwa mujibu wa sheria kuanzia 1988 hadi 1989. Namuombea Mungu ampe nguvu na apone haraka.

    ReplyDelete
  4. Namuombea Mungu ampunguzie maumivu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...