Miss Chang'ombe Geneviva Emmanuel akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Upendo Urasa kulia na mshindi wa tatu Anna Daud mara baada ya washindi kutangazwa katika shindano la Miss Chang'ombe liliofanyika kweny viwanja vya TCC Sigara Jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. kwa habari zaidi na taswira mtembelee ankal John Bukuku BOFYA HAPA

Chang'ombe iko ndani ya Jimbo langu la uchaguzi,jimbo linaloongoza kwa viwanda nchini.
ReplyDeleteWana Temeke, nakuja tuanzishe mapinduzi ya viwanda.
Kaeni mkao wa kula.
(US Blogger)
Great smile Miss Chang'ombe. You got my Vote!!
ReplyDelete