Home
Unlabelled
jimbo jipya la uswazi: mama ntilie
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana Ray C kwa kuwapa shavu vijana wanaochipukia. Aisee Muhidini acha roho mbaya ndugu yangu. Tangu wiki iliyopita nakuomba wawekee wadau walio nje ya nchi na kwingineko songi jipya la Ali Choki na Extra Bongo la Laptop. Haki ya nani kama lile songi lingekuwa la Twanga Pepeta ungeshalirusha hewani. Choki yupo juu ndugu yangu hata kama wewe ni mnazi wa Asha Baraka. Haya sasa nibanie hii comment ufaidi.
ReplyDeleteKama kuna binadamu kafanya kazi nzuri haina budi binadamu wenzie kumsifia Safi mchizi wangu Gelly@AT na Sister Ray C.haswa nikikumbuka Mama Ntilie wa Bwagamoyo
ReplyDeleteNa Rama wa Mpili
Michu ahsante sana kwa songi lipo juu ile mbaya na video nzuri imebeba ujumbe uliomo hongereni sana wenzangu tuna furahi sana kupata vitu adimu ama hivi.hongera sana Adam hubahatishi
ReplyDeleteUmetulia aiseeeee!!
ReplyDeleteshooting needs improvements.
ReplyDeletewow imetulia saaan,hizi ndio nyimbo ubunifu wa kufa mtu,wee mamaa ntilie,unijazieee mamisosi ya kufa mtu daah denda linanitoka.
ReplyDeleteHivi ni kwa nini takriban nyimbo zote za bongo beats zao zinafanana mno, na style ile ya muchezea sauti kwa computer? ni kama vile nyimbo zote zinatolewa na producer mmoja asojuwa style nyengi!! nakusudia uzito wa vyombo vya muziki na mixing yote kwa ujumla.
ReplyDeletenice video
ReplyDeletekazi nzuri. bonge la track, BONGE LA VIDEO.
ReplyDeletemdau chiggs, deslam
Dj Richie & Bongo Dj Crew hebu fanyeni mambo Ray C aje tour UK & Ireland. Msitubanie wapenzi wake kumuona...hayo macho yake ya kuita ningependa kuyaona Live.
ReplyDeleteUnaomba nyama wakati pweza wako umemficha!!! Kaaaaazi kweli kweli!!
ReplyDeleteAbsolutely fantastic song... Keep it up girl. You are the best.
ReplyDeleteha ha haa ray c kapinda acha tuu ila kapendeza kweli kuwa mama ntilie
ReplyDeletebeat kali sana nyimbo hina utamu. hila kimashairi siyo sana!big up
ReplyDeleteAh Ray C kumbe bado yuko gado bomba namna hiyo. naona na kiuno kina akili akili sahvi. mi nikimpata huyu nakamua tu mwanangu sijali cha mwisho mwampamba wala sijui Joe Makini kwanza sio waowaji wale. mi nikimpata nakamua na naweka ndani kabisa. Ila huyo mtoto mdogo aliyevaa sare za shule nimepmenda anacheza vizuri kweli tena veeeery seriously!!
ReplyDeleteMichuzi vipi Umeshapewa green light ya kumuweka kwenye blog yetu mambo yake?, unakumbuka alituchimba mkwara 2007 tusimuweke kwenye blog yetu?
ReplyDeletehttp://issamichuzi.blogspot.com/2007/08/marufuku.html#comments
dada ray C uzee unakusogelea nakumbuka ulivyo kuja holland kuturusha sasa nakuona mzito dada fanyafanya mazoezi
ReplyDeleteHapa ndipo usemi usemao "mwanamke kipodozi unapodhiilika".
ReplyDeletemambo ya alejandro hayo...mweee mimi nimependda video kuliko wimbo..sauti na beats naona ni zile zile tu lakini maneno tofauti ila kideo chao kimenifurahisha
ReplyDeleteHuyu mdada siku nyingi sana nilikua sijamwona teana alikua USA alikua mmmmmmmhhhhhhh
Kibao murua nimekipenda! Kimebeba ujumbe mzito aidha kimeandaliwa katika mazingira ya mtanzania wa kawaida! sio wengine mnafanya shooting kwenye mandhari za kimarekani na kuegemea magari ya thamani ambayo kamwe hamtomudu kuyanunua. Big up Ray c na wasanii hao chipukizi.
ReplyDeleteNyimbo nzuri sana na hasa hiyo Video, inaonyesha maisha ya ukweli uswahilini. I also like the way Ray C alivyoimba. Kipaji ni kipaji tu! Big up Ray C.
ReplyDeleteMdau USA
Nimependa walivyoitumia Tashtiti vizuri! Kubeba ujumbe uliofichika!! Hongereni!
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteSiku ya Jumanne, tarehe 7/8/2007 uliweka ujumbe mwekundu na kwa maandishi makubwa kwenye hii blogu kama ifuatavyo:
"marufuku
KUNA MDAU HAPO CHINI KANITUHUMU KULA RUSHWA NA MUANDAAJI WA SHOO YA RAY C UHOLANZI. KATIKA KUWEKA REKODI SAWA NAOMBA NIWAFAHAMISHE WADAU WOTE KWAMBA NIMEONDOA PICHA NA MATANGAZO YA RAY C BAADA YA MSANII HUYO KUNIPIGA MARUFUKU KUWEKA HABARI ZAKE KWENYE GLOBU YETU HII KWA SABABU AMBAZO HAKUZITAJA. HIVYO NAHESHIMU UTASHI WAKE NA SIO RUSHWA AMA KITU KINGINE ILA RAY C MWENYEWE AMINIZUIA KUWEKA HABARI ZAKE HUMU..."
Hata hivyo nimeshangazwa sana kwa kwa wewe kuweka video zake humu. Imekuwaje? Tena unaweka bila hata kupata consent kwetu sisi wasomaji wa blogu. Bw. Michuzi amekuomba msamaha? Mimi napendekeza hiyo video iondolewe na kama Ray C anataka video zake huku basi atuombe msamaha kwa matamshi. Otherwise, Michuzi utakuwa unatuangusha. Naomba uweke huu ujumbe kwenye ukurasa wa kwanza kabisa wa blogu ili wanablogu waamue. Shukrani.
Mwanablogu mkereketwa
sasa kama kuna ujumbe wa 7/8/2007 yaweje tena michuzi????
ReplyDeletemnyalukolo beee mie jicho na kiuno tu basiiii
ankal pole na miangaiko kutokana na message ya 2007 ya ray c tunaomba utuuleweshe inakuwaje yupo kwenye blog yetu ya jamii?inabidi aombe msamaha kwa blog ya jamii maana tutashindwa kukuelewa ankal.au...........
ReplyDelete