Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    Safi sana Ray C kwa kuwapa shavu vijana wanaochipukia. Aisee Muhidini acha roho mbaya ndugu yangu. Tangu wiki iliyopita nakuomba wawekee wadau walio nje ya nchi na kwingineko songi jipya la Ali Choki na Extra Bongo la Laptop. Haki ya nani kama lile songi lingekuwa la Twanga Pepeta ungeshalirusha hewani. Choki yupo juu ndugu yangu hata kama wewe ni mnazi wa Asha Baraka. Haya sasa nibanie hii comment ufaidi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2010

    Kama kuna binadamu kafanya kazi nzuri haina budi binadamu wenzie kumsifia Safi mchizi wangu Gelly@AT na Sister Ray C.haswa nikikumbuka Mama Ntilie wa Bwagamoyo
    Na Rama wa Mpili

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2010

    Michu ahsante sana kwa songi lipo juu ile mbaya na video nzuri imebeba ujumbe uliomo hongereni sana wenzangu tuna furahi sana kupata vitu adimu ama hivi.hongera sana Adam hubahatishi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2010

    Umetulia aiseeeee!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2010

    shooting needs improvements.

    ReplyDelete
  6. wow imetulia saaan,hizi ndio nyimbo ubunifu wa kufa mtu,wee mamaa ntilie,unijazieee mamisosi ya kufa mtu daah denda linanitoka.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2010

    Hivi ni kwa nini takriban nyimbo zote za bongo beats zao zinafanana mno, na style ile ya muchezea sauti kwa computer? ni kama vile nyimbo zote zinatolewa na producer mmoja asojuwa style nyengi!! nakusudia uzito wa vyombo vya muziki na mixing yote kwa ujumla.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 09, 2010

    nice video

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 09, 2010

    kazi nzuri. bonge la track, BONGE LA VIDEO.
    mdau chiggs, deslam

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 09, 2010

    Dj Richie & Bongo Dj Crew hebu fanyeni mambo Ray C aje tour UK & Ireland. Msitubanie wapenzi wake kumuona...hayo macho yake ya kuita ningependa kuyaona Live.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 09, 2010

    Unaomba nyama wakati pweza wako umemficha!!! Kaaaaazi kweli kweli!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 09, 2010

    Absolutely fantastic song... Keep it up girl. You are the best.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 09, 2010

    ha ha haa ray c kapinda acha tuu ila kapendeza kweli kuwa mama ntilie

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 09, 2010

    beat kali sana nyimbo hina utamu. hila kimashairi siyo sana!big up

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 09, 2010

    Ah Ray C kumbe bado yuko gado bomba namna hiyo. naona na kiuno kina akili akili sahvi. mi nikimpata huyu nakamua tu mwanangu sijali cha mwisho mwampamba wala sijui Joe Makini kwanza sio waowaji wale. mi nikimpata nakamua na naweka ndani kabisa. Ila huyo mtoto mdogo aliyevaa sare za shule nimepmenda anacheza vizuri kweli tena veeeery seriously!!

    ReplyDelete
  16. Mpalang'ombeJune 09, 2010

    Michuzi vipi Umeshapewa green light ya kumuweka kwenye blog yetu mambo yake?, unakumbuka alituchimba mkwara 2007 tusimuweke kwenye blog yetu?

    http://issamichuzi.blogspot.com/2007/08/marufuku.html#comments

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 09, 2010

    dada ray C uzee unakusogelea nakumbuka ulivyo kuja holland kuturusha sasa nakuona mzito dada fanyafanya mazoezi

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 09, 2010

    Hapa ndipo usemi usemao "mwanamke kipodozi unapodhiilika".

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 10, 2010

    mambo ya alejandro hayo...mweee mimi nimependda video kuliko wimbo..sauti na beats naona ni zile zile tu lakini maneno tofauti ila kideo chao kimenifurahisha


    Huyu mdada siku nyingi sana nilikua sijamwona teana alikua USA alikua mmmmmmmhhhhhhh

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 10, 2010

    Kibao murua nimekipenda! Kimebeba ujumbe mzito aidha kimeandaliwa katika mazingira ya mtanzania wa kawaida! sio wengine mnafanya shooting kwenye mandhari za kimarekani na kuegemea magari ya thamani ambayo kamwe hamtomudu kuyanunua. Big up Ray c na wasanii hao chipukizi.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 10, 2010

    Nyimbo nzuri sana na hasa hiyo Video, inaonyesha maisha ya ukweli uswahilini. I also like the way Ray C alivyoimba. Kipaji ni kipaji tu! Big up Ray C.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 10, 2010

    Nimependa walivyoitumia Tashtiti vizuri! Kubeba ujumbe uliofichika!! Hongereni!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 10, 2010

    Michuzi

    Siku ya Jumanne, tarehe 7/8/2007 uliweka ujumbe mwekundu na kwa maandishi makubwa kwenye hii blogu kama ifuatavyo:

    "marufuku
    KUNA MDAU HAPO CHINI KANITUHUMU KULA RUSHWA NA MUANDAAJI WA SHOO YA RAY C UHOLANZI. KATIKA KUWEKA REKODI SAWA NAOMBA NIWAFAHAMISHE WADAU WOTE KWAMBA NIMEONDOA PICHA NA MATANGAZO YA RAY C BAADA YA MSANII HUYO KUNIPIGA MARUFUKU KUWEKA HABARI ZAKE KWENYE GLOBU YETU HII KWA SABABU AMBAZO HAKUZITAJA. HIVYO NAHESHIMU UTASHI WAKE NA SIO RUSHWA AMA KITU KINGINE ILA RAY C MWENYEWE AMINIZUIA KUWEKA HABARI ZAKE HUMU..."

    Hata hivyo nimeshangazwa sana kwa kwa wewe kuweka video zake humu. Imekuwaje? Tena unaweka bila hata kupata consent kwetu sisi wasomaji wa blogu. Bw. Michuzi amekuomba msamaha? Mimi napendekeza hiyo video iondolewe na kama Ray C anataka video zake huku basi atuombe msamaha kwa matamshi. Otherwise, Michuzi utakuwa unatuangusha. Naomba uweke huu ujumbe kwenye ukurasa wa kwanza kabisa wa blogu ili wanablogu waamue. Shukrani.

    Mwanablogu mkereketwa

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 10, 2010

    sasa kama kuna ujumbe wa 7/8/2007 yaweje tena michuzi????

    mnyalukolo beee mie jicho na kiuno tu basiiii

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 10, 2010

    ankal pole na miangaiko kutokana na message ya 2007 ya ray c tunaomba utuuleweshe inakuwaje yupo kwenye blog yetu ya jamii?inabidi aombe msamaha kwa blog ya jamii maana tutashindwa kukuelewa ankal.au...........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...