Mwenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake nchini, Lina Mhando akisoma historia ya timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) mbele ya JK leo Ikulu jijini Dar ambako aliwaalika kuwapongeza kwa kufanikiwa kutinga fainali za Afrika
JK akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), alipowaita Ikulu, Dar es Salaam jana, kuwapongeza baada ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika Afrika Kusini Agosti, Mwaka huu. Rais ameahidi kugharamia malazi, chakula na posho kwa wachezaji wakati wa kambi ya maandalizi itakayoanza Julai
JK akwia kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Timu ya Twiga Stars wakati wa kuipongeza Timu hiyo ilipofanya vizuri (wa tatu kushoto mstari wa kwanza) ni Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika, na wa ( kwanza kushoto mstari wa juu ) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na michezo ndugu Seth Kamuhanda, kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu mjini Dar es Salaam leo.


JK akila pozi na Twiga Stars
Wana Twiga Stara wakitoka Ikulu kwa furaha baada ya kuonana na JK





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2010

    hahahaaa Ankal, kwenye hiyo picha ya kwanza hapo juu naona chabo la mkuu wa bongotambarare kwa huyo mwanamax2 kama limekwenda halojojo vile!!!! Teh teh teh yakhe jicho hilo bwan'shehe. Anyway ni observations zangu tu uc'ntoe roho ankal nawe iangalie vizuri. Mzee wa pajazzzzz na titizzzzzzz nimerudi teeeeeeena ingawa cku hzi blog Hain mambo maramuzzzz teeeeeeeena!!! tehtehte aaaaaaaaaanha!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2010

    Hawa wengine kweli ni wanawake? isije kwa hawa nao ni kama yule mkimbiaji wa kike.

    Hebu tizama picha ya nne wa mwanzo upande wa kushoto safu zote tatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...