Mkurugenzi wa vodacom foundation kanda ya kaskazini ,Nguvu Kamanda (shoto)akipeana mkono na paroko Damian Temere wa parokia ya Kilema katika hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi katika kijiji cha Kimaroroni ,kulia ni mkurugenzi wa kitengo cha vodacom foundation Mwamvita Makamba na Mwenyekiti wa kijiji cha Kimaroroni Maurice Mathias,Vodacom imetoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho.

Nguvu Kamanda ... Product ya Mzumbe high school .... mkuu naona uzi wako ni ule ule charming , smiling face .. eh teh kaza buti kwa kwenda juu kaka ...from ur fellow student .ohh namkumbuka hapa mwl Wibo( R.I.P) SHM ( simple Harmonic Motion ... we must do it every time to and fro .....
ReplyDeleteKaka Michu,kuna ile issue uliitoa ya dada wa Kitz aliepotea L.A. nimeiona facebook kuwa amepatikana kauwawa na kutiwa kwenye bin bag.hebu ifuatilie zaidi tupate yaliyojiri .RIP dada yetu.
ReplyDeleteMdau wa UK.
Hili jina la Nguvu Kamanda limenifurahisha sana, wale wanaoajiri kwa kuvizia kabila la mtu kwa jina hili watakuwa wameliwaaaaa! Nguvu Kamanda salamu zako.
ReplyDelete