JK akimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kiaro aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza leo asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara fupi ya siku mbili kukagua shughuli za maendeleo ikiwemo kukagua ujenzi wa Barabara ya Usagara hadi Geita. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
JK akimsikiliza kwa makini Jenerali Kiaro



mwenyenzi mungu akupe nguvu upone mapema baba...nakumbuka ulikuwa rafiki wa baba yangu..
ReplyDeletehawa walikuwaga pamoja kule mondule enzi za mwalimu? nasikia JK naye ni soja
ReplyDeleteNakumbuka Jenerali Kiaro alikuwa ni Mkuu wa Majeshi wakati nipo JKT kwa mujibu wa sheria kuanzia 1988 hadi 1989. Namuombea Mungu ampe nguvu na apone haraka.
ReplyDeleteNamuombea Mungu ampunguzie maumivu
ReplyDelete