Home
Unlabelled
JK mgeni rasmi miaka 100 ya KKKT Bukoba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jana tulitangaziwa kwamba KKKT imeanzishwa mwaka 1963. Hii post inasema miaka 100 ya KKKT. Who is right?
ReplyDeletemdau wa kwanza si uingie google kukata mzizi wa fitna?
ReplyDeleteMdau wa 10.45 we acha tuu!!
ReplyDeleteWatu wengine wavivu wa kufikiri.
Muuliza swali ameuliza swali ambalo watu wengi linawachanganya. Aki-google kutafuta jibu anaweza kupata maelezo au hata inaweza pia ikamchanganya zaidi. Hali halisi ni kwamba 'KKKT' na 'Kanisa la KKKT- Kashura Bukoba' ni vitu viwili tofauti lakini vina uhusiano wa karibu sana. KKKT ni muungano wa Dayosisi mbalimbali za makanisa ya Kilutheri nchini Tanzania. Dayosisi (makanisa) hayo ikiwemo Kashura-Bukoba, Konde-Tukuyu,n.k. yalianza zamani wakati wa ukoloni.Dayosisi (Kanisa)ya Konde Tukuyu kwa mfano walisherehekea Jubilee ya miaka 100 miaka ishirini hivi iliyopita. Wakati wa ukoloni hakukua na muungano wa pamoja unaoitwa KKKT. Kila Dayosisi (Kanisa) ilikuwa inajitegemea.Baada ya uhuru yaani 1963 wakaamua kuunda umoja huo ambao Askofu Gerhaz Malasusa ambae pia ni askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ndiye Mkuu wake.Kumbuka pia kuwa kila Dayosisi ina askofu wake.
ReplyDeleteNawewe Lumuli umechapia Gerhaz mwalasusa ni baba yake Alex mwalasusa ambaye ndio askofu Gerhaz alikuwa mchungaji tu, hakuwahi kuwa askofu, wewe ndio unaongezea mkorogo kabisa!!!
ReplyDeletemdau uliyesema kaongezea mkorogo umeniua kwi kwi kwiiii
ReplyDelete