






(Picha na Anna Nkinda.)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MSAADA TUTANI
ReplyDeleteCan anybody find and identify Mr Kamau in these pictures?
Giggle, giggle giggle, he seems very capable of rubbing Tanzanians the wrong way.
VERY CLASSIC WITH LAND ROVER 109.....INGEKUWA TANZANIA HAPO UNGEONA KUNA BMW-X5, NA MERCEDES BENZ S600 - HALAFU MKIAMBIWA KUWA MNAPENDA MAKUBWA MNAKUWA WAKALI KAMA SIMBA...BONGO BWANA....
ReplyDeleteI DONT THINK THAT "NATIONAL YOUTH SERVICES" MEAN ASKARI WA JESHI LA KUJENGA VIJANA,THATS A MISTAKE
ReplyDeleteMajeshi yao yanang'ara,basi kama kuna vita,jamaa hao wanaweza wakatushinda na mbwa zao!!!bila ya kuchomoa risasi!
ReplyDeletewe anony 10:56, mbona JK anatumiaga gari la jeshi akiwa kwenye dhifa za kitaifa kama uhuru, muungano n.k...au wewe unaishi Tanzania gani? halafu huyo Kibaki unayemfagilia anazo hizo S600 za kumwaga! Msafara wake ni mkubwa kuliko wa JK. Najua bongo tuna mapungufu yetu lakini usiwafagilie wakenya hivi hivi...na wao wana mapungufu yao. Wote (Tanzania na Kenya) inafaa tufanye mabadiliko.
ReplyDeleteMdau Cape Town
They look nice! Mimi sio kama kamau anaona wivu then anaanza kukandia.
ReplyDeletesijui zile sepetu walizoshika wanafanyi kazi gani?!
wabongo raha sana nikiingi ahuku nakuwa nacheka tu wewe unayema watatushinda na mbwa wao umenichekesha sana..Unesahau na siye juzi juzi tulipata sijui waili wale wakunusa mabomu?
ReplyDeletenimewapenda hao askari mbwa wana mvuto kweli na nidhamu ya hali ya juu na sie sikukuu ya uhuru mbwa nao wafanye rigwaride kama hivi inatia hamasa kweli big up majirani
ReplyDeleteWEWE WED JUN 06:45:00 ACHA UBISHI USIOKUWA NA TIJA KAMA UMESHINDWA KULIENDELEZA TAIFA LAKO HIYO INATOKANA NA UVIVU WAKO, MUONESHE KAMAU KUWA HAKUSHINDI KWA LOLOTE KWA KUTOA MIFANO HAI NA TAKWIMU KAMA BIDHAA ZETU KUFULIKA KWENYE MADUKA YAO NA SISI KUONGOZA KWENYE SHINDANO LA ZAIN VYUO VIKUU; VINGINEVYO NI HASIRA ZA MTU ALIYESHINDWA KIMAENDELEO ANAISHIA KUWA NA WIVU.
ReplyDeletehakuna lolote wanajeshi wetu wapo kamili gado mziki mkubwa hao wachumba tu
ReplyDeletesema yote 9 kumi mziki upo rwanda wajamaa wale wamedata kwa kupiga shaba
wale wakiamua wanaikamua east africa yote pekeyao wale jamaa ni noma ukiwaona nchi ndogo lakini mh
wale wakianguka kwetu basi wape siku 3 tu ujuwe wamemaliza kazi
Wakenya kwa kuiga! angalia watu waliokaa kule nyuma kwa rangi ya bendera yao. Wametuiga sisi siku yetu ya Uhuru tulivyojipanga kwa rangi ya bendera yetu. Halafu oh watanzania hawana sijui nini....
ReplyDeleteDu! hili sooo sasa? mbona hawa wanajeshi wamewafunga minyororo akina ffu aka watoto wa mbwa?ndio kusema ffu hakuna kubwaka apo???
ReplyDeletemnaweka nyago za wakenya umu za nini weee michu??????
ReplyDeleteebu tutolee vichefu-chefu ivi!kujigonga tuu..wao wanatuwekaga kwao?
ovyoooo
kweli bwana Michu, achana na ishu za wakenya humu, hatumaindi kaka
ReplyDelete