Home
Unlabelled
KIKOSI KAZI CHA ANKAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal na kikosi chaa kazi! baabu kubwa,kumbe kikosi cha mzee wa libeneke ni moto mkali
ReplyDeleteHebu tujulishe kikosi kazi hicho kinafanya nini wakati wa mnuso? Picha, maandalizi, au nini?
ReplyDeleteMichuzi, gender balance iko wapi hapa?
ReplyDeleteLakini wasiwe wanakunywa bia wanapo kuwa kazini. haya ndiyo matatizo ya ma-MC na Ma DJ wengi hapo bongo wanajisahau kwamba wapo kazini hapo na wala si wageni waalikwa. hata wasipo pewa soda ni sawa tu sababu watalipwa haki yao. Ni hayo tu.
ReplyDeleteAnkal kikosi chako ni kikubwa sana kuingia nacho kwenye mnuso, inaleta hasara watu 6 jamani duu na wote hao lazima wanywe na wale.
ReplyDeleteHaya tena. mdau Mwananyamala
ANKAL MIMI NAKUMBUSHIA VULANAZZZZZZZZ HADI LEO NI KITENDAWILI BASI TURUDISHIE ANUANI ZETU.
ReplyDeleteMDAU
KISIJU PWANI
Naungana na Mdau hapo juu Gender balance iko wapi? Halafu pombe na kazi haviendani kazi kwanza pombe baadae! Mkiendekeza pombe mwisho ni kuharibu sherehe, kikosi kikubwa sana angalau wawe watatu kushuka chini. Si unajua mambo ya Bajeti?
ReplyDeletekikosi sio kikubwa jamani. mnafikiri wote wanaenda kufanya kazi moja?
ReplyDelete1 ni mpiga picha za mgando 9still pictures0
1 ni mshereheshaji (mc)
1 ni dj (muziki)
1 ni msaidizi wa dj (kuchanganya picha za video zinazoonekana moja-kwa moja ukumbini) na ni fundi mitambo (umeme) anahakikisha mambo yote yanayohusu umeme yanakwenda sawa.
1 ni mpiga picha za video.
1 ni msaidizi wa mpiga picha za video (kushika taa, waya n.k)
good job issa.
Ankal, 50/50 wapi????
ReplyDeleteGender balance hamnaaa??
Maisha ya sasa muhimu kuangalia hiyo, kama ulikuwa bado hujafikiria anza kuona namna ya kufanyia kazi. Hata mamuu unaweza kuanza kumuandaa andaa.
hakuna wanawake kabisaaaa!!heeee
ReplyDeletehapo ukitia mwanamke matokeo yake!? ...bora timu ibaki hiv hiv
ReplyDeleteAnkal, nimejua sasa wewe ni mbaguzi
ReplyDeleteKama ungekuwa hapa America usingepata kura yangu. Cha kushangaza huna gender balance kwenye kikosi chako hii IMEKAAJE??? una lakutueleza kulikoni??
Maweeeee!! kuuumbe wanakunywa kaieinekeni, yaani bojo! hawa watoto wa mchuzi.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo