Home
Unlabelled
libeneke la dot co.tz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wadau naomba kufahamu hiyo jezi namba 10 kama ilikuwa inavaliwa na nani na tujue kama huyo mchezaji husika ameuzwa, kamaliza mkataba au la..? kufanya mambo kienyeji si vyema. Naam, ni hilo tu.
ReplyDeletecongrats 1&1.
ReplyDeleteWould you kindly highlight the benefits as most of us have the understanding that the .com, .org, etc are superior, international as comapred to .tz names.
Once we know for sure most of us will stop registering names like sofia-tz.com or sofia-tanzania.com.
And what are the costs?
Kaka michu,
ReplyDeleteWewe lini na .co.tz?
Naona kicheko sasa apatikana kwa .com na .co.tz - Hongera!!!!
Tuelimishane na sisi jamani kabla majina mazuri kama kilimanjaro, ngorongoro, jambo, fadhila, yakhe, nk hayajachukuliwa na wajanja/wageni.
Kwa nini www.oneis.co.tz wanatumia logo ya www.1and1.com ??....Hebu kuweni creative kidogo, Nimeiona hii siku nyingi sana. 1and1 ni kampuni tofauti iliyopo USA....haya wee!!!
ReplyDelete1&1 ni kampuni kubwa sana ya kimarekani inayohusika na usajiri wa domain names na hosting. Sidhani kama ni kampuni hii hii inayosajiri majina ya .tz. Watanzania wenzetu kama mmetumia jina hilo hilo 1&1 kulikuwa na sababu ya kuiba na logo yao kweli?
ReplyDelete