Marehemu Ammy Tunu Shem
FAMILIA YA MAMA SHEM WA KINONDONI INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MZAZI MPENDWA AMMY TUNU SHEM (MAMA SHEM) KILICHOTOKEA JANA SAA 2 USIKU HAPO TUMAINI HOSPITAL UPANGA, DAR ES SALAAM .
MAZISHI YATAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 05/06/2010 SAA 10 JIONI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU KINONDONI MKWAJUNI MTAA WA MABUKI.
HABARI ZIWAFIKIE WAFANYAKAZI WOTE WA OAU , UNDP NDUGU NA JAMAA WA MAREHEMU POPOTE PALE WALIPO
SHURKANI ZIWAFIKIE MADAKTARI (DR NEEMA ) NA WAAGUZI WA HOSPITALI YA TUMAINI KWA JITIHADA ZAO ZOTE NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI WALIOTUSAIDIA KIMAWAZO NA KUTUFARIJI KATIKA WAKATI HUU MGUMU HATUNA CHA KUWALIPA TUNAOMBA MPOKEE SHURKANI ZETU KWA DHATI ASANTENI SANA
KWA HABARI ZAIDI WASILIANA NA:
1.RICHARD SHEM SAMUEL SEKUBA WA SLOUGH UK - +255777578725 (MTOTO WA MAREHEMU )
2.ERIC WINSTON MASANJA SLOUGH UK - +447955663571 (MTOTO WA MAREHEMU)
3.RASHID (RAMSO) SHEM - + +255765653670 (MDOGO WA MAREHEMU)
4.EZEKIEL SEKUBA - +255715289134 (MTOTO WA MAREHEMU)
Hakika Kila Nafsi Itaonya Umauti..Kalale pema Mama Mkwe..Ni pigo kubwa katika Familia ,Ni imani yangu kwamba katika nyumba mama ndio nguzo thabiti katika malezi na makuzi ya watoto, mama Ammy Shem alikuwa ni moja ya mfano huo wa malezi bora kwa watoto.Poleni Sana RIchard, Erick na watoto wengine wa Marehemu.
ReplyDeleteBwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe.Amen--Matulanya
Shem Erick tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama..nakuombea mungu akutie nguvu na baraka katika kipindi kizito cha maisha yetu wanadamu haswa kuondokewa na kipenzi chetu mama.
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilayhi raji'un!
ReplyDeletepoleni sana Charles Mushi, Ezekiel, Erick, Rich.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe!
kweli inasikitisha sana,mama shem alikua ni mama mwenye upendo na mcheshi kwa watu wote muda wote,mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina,bwana richard pole sana rafiki yangu.duniani wote tunapita tu,inauma sana kufiwa na mama.nakumbuka ni wiki mbili tu zilizopita umenieleza hali ya mama.natumai mungu atakufariji katika kipindi hiki kigumu sana,wape pole pia wadogo zako wote.
ReplyDeleteisaac.
Poleni sana wafiwa ktk kipindi hiki kigumu.
ReplyDeletePoleni sna jilani , Ezekiel, Richard, Erick, Kiao etc!! Mungu amlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa!!
ReplyDeletePoleni wafiwa Mungu awafariji tuko pamoja.
ReplyDelete