Mdau Kisura alifurahi sana pale kamera ya Globu ya Jamii
ilipomnasa kwenye mnuso fulani hivi jijini Dar.
Alipoulizwa je tuirushe hii taswira yako? Akajibu "haina noma.
We irushe tu kwani taswira ni hobi yangu..."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    Wewe dada ni mzuri sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2010

    mwanamke mwenzangu umependeza c mchezo! pia umevaa kiheshima! Binafsi Nakufagilia

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    Mh, mbona hafanani na visura wenzake? Watu wenye majina ya kisura huwa wanakuwa visura hasa. Si unajua majina huumba?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    Muumba asifiwe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2010

    nimpenda huyu dem,naomba simu yake, mdau kutoka US

    ReplyDelete
  6. umependeza naomba kujua umenunua wapi na mi nipatembelee

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2010

    Binti mzuri.Ana umbo zuri. Nguo nzuri. Viatu vizuri. Ana good taste ya mavazi. Very smart lady. 100%. Great !!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 29, 2010

    Tuwekee na contact zake. Naona kazi anaiweza.

    ReplyDelete
  9. Bradha yaani bora usingeiweka tu hiyo picha tujue moja basi.

    Sasa kutuwekea picha bila kontakts ndio nini? Tutampataje sasa?

    We Michuzi vipi wewe? Unakuwa kama umekuja leo toka Manerumango bwana!

    ReplyDelete
  10. Mzee W a ZezeJune 29, 2010

    Kisura umenitoa roho, mwenzio niko "single", je wewe?? Bora tufunge pingu za maisha na ankal atapata thawabu nyingi kwa kutukutanisha kwenye libeneke la jamii.

    ReplyDelete
  11. Mume Wangu, Mikanjuni TangaJune 29, 2010

    Jamani nimeona mwanya au ni ukware wangu tu? Hakika Kisura uko sawasawa. Hakikisha anayekuchukua hakosi angalau "kigari chekundu" lakini asiwe fisadi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 29, 2010

    Du Mkono wa kushoto hakuna alama yeyote ile. Basi tuwekee kontakti yake BASI!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 29, 2010

    utasafiri, utavuka bahari, mito, maziwa, mabonde, milima..LAKINI mwishowe utakubali uzuri wa WABANTU.

    sista, bahati mbaya nimeshaoa.. ningekuwa mkware ningefunga safari.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 29, 2010

    Nina sherehe natafuta mtu wa kufotoa taswira za kwenye hiyo sherehe.Naona huyu ana sifa hizo. contacts please!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 29, 2010

    kidole kuwa cheupe si mana yu aido, ana vifaranga viwili, na visura wenye mishipa ya kwenye paji la uso kwa mbali flan ni soo, vuvuzela zao ni soo, hutabanduka mzk mnene! kila nikimchek ananisisimua sana jiran!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 29, 2010

    YAANI MTU ASIPOKUSIFIA ATAKUWA NA MAKUNYANZI YAKE

    ReplyDelete
  17. yaliyomo yamoJune 29, 2010

    your legs gonna be tired in the next couple of hours, because you are now running through my mind!

    wewe michuzi siku nyingine usituwekee mrembo kama huyu bila kutuwekea kontakti zake; lakini kwa leo asante kwa kuwa nimesafisha macho.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 29, 2010

    ssssshhhhh! hot

    Michuzi...namuomba huyu dada right now.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 29, 2010

    nimempenda sababu anajiamini.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 29, 2010

    we dadaa, hata ungevaa gunia uzuri usingefichika, uko kiasili zaidi, sijui unatumia mafuta ya maparachichi au ya mawese...ila pamoja na watu kibao kukusifia hata kusema asanteni huwezi!..ha we mwafrika gani...mi basi sitaki tena nmb yako ,michuzi usiweke hiyo nmb....mdau hyderabad

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 29, 2010

    Mashallah,mpaji na muumbaji ni mungu. Umependeza na unaendana na umbile lako. Very beautifull smile. Go girl.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 29, 2010

    JAMANI ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!!!
    WANAOMPONDA WANA LAO JAMBO. BINTI UMZURI, UNAPENDEZA. MICHU AHSANTE KAKA, NIMEOSHA MACHO.

    MPG BX

    ReplyDelete
  23. KalagabahoJune 30, 2010

    Aise ngoma ya kibantu imetulia sana, ila michuzi uwe unaweka jina, wasifu wake na contacts zake basi.
    Aise watoto wa kibantu bomba mno! Kuanzia sura, kaunene kake, miguu na kila kitu!
    Kweli Mungu yupo!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 30, 2010

    Kanikumbusha zile pochi za kike za miaka ya themanini ambazo hazikuwa na vibebeo.
    Ni mzuri wa asili lakini anahitaji kupata mnasihi wa vipodozi hasa vya kujipaka usoni, nywele pia, za asili ni bomba zaidi.


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  25. Kaka Kamera ya glob ya jamii yaona kweli kweli c mchezo, aminia kaka.

    Big up.
    BP.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 30, 2010

    Umependeza sana dada pia wewe ni mzuri?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 30, 2010

    Mbona huyu hamsemi anauza sura yake? Wacheni unafiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...