Home
Unlabelled
mdau wa globu ya jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe dada ni mzuri sana.
ReplyDeletemwanamke mwenzangu umependeza c mchezo! pia umevaa kiheshima! Binafsi Nakufagilia
ReplyDeleteMh, mbona hafanani na visura wenzake? Watu wenye majina ya kisura huwa wanakuwa visura hasa. Si unajua majina huumba?
ReplyDeleteMuumba asifiwe.
ReplyDeletenimpenda huyu dem,naomba simu yake, mdau kutoka US
ReplyDeleteumependeza naomba kujua umenunua wapi na mi nipatembelee
ReplyDeleteBinti mzuri.Ana umbo zuri. Nguo nzuri. Viatu vizuri. Ana good taste ya mavazi. Very smart lady. 100%. Great !!!
ReplyDeleteTuwekee na contact zake. Naona kazi anaiweza.
ReplyDeleteBradha yaani bora usingeiweka tu hiyo picha tujue moja basi.
ReplyDeleteSasa kutuwekea picha bila kontakts ndio nini? Tutampataje sasa?
We Michuzi vipi wewe? Unakuwa kama umekuja leo toka Manerumango bwana!
Kisura umenitoa roho, mwenzio niko "single", je wewe?? Bora tufunge pingu za maisha na ankal atapata thawabu nyingi kwa kutukutanisha kwenye libeneke la jamii.
ReplyDeleteJamani nimeona mwanya au ni ukware wangu tu? Hakika Kisura uko sawasawa. Hakikisha anayekuchukua hakosi angalau "kigari chekundu" lakini asiwe fisadi.
ReplyDeleteDu Mkono wa kushoto hakuna alama yeyote ile. Basi tuwekee kontakti yake BASI!
ReplyDeleteutasafiri, utavuka bahari, mito, maziwa, mabonde, milima..LAKINI mwishowe utakubali uzuri wa WABANTU.
ReplyDeletesista, bahati mbaya nimeshaoa.. ningekuwa mkware ningefunga safari.
Nina sherehe natafuta mtu wa kufotoa taswira za kwenye hiyo sherehe.Naona huyu ana sifa hizo. contacts please!
ReplyDeletekidole kuwa cheupe si mana yu aido, ana vifaranga viwili, na visura wenye mishipa ya kwenye paji la uso kwa mbali flan ni soo, vuvuzela zao ni soo, hutabanduka mzk mnene! kila nikimchek ananisisimua sana jiran!
ReplyDeleteYAANI MTU ASIPOKUSIFIA ATAKUWA NA MAKUNYANZI YAKE
ReplyDeleteyour legs gonna be tired in the next couple of hours, because you are now running through my mind!
ReplyDeletewewe michuzi siku nyingine usituwekee mrembo kama huyu bila kutuwekea kontakti zake; lakini kwa leo asante kwa kuwa nimesafisha macho.
ssssshhhhh! hot
ReplyDeleteMichuzi...namuomba huyu dada right now.
nimempenda sababu anajiamini.
ReplyDeletewe dadaa, hata ungevaa gunia uzuri usingefichika, uko kiasili zaidi, sijui unatumia mafuta ya maparachichi au ya mawese...ila pamoja na watu kibao kukusifia hata kusema asanteni huwezi!..ha we mwafrika gani...mi basi sitaki tena nmb yako ,michuzi usiweke hiyo nmb....mdau hyderabad
ReplyDeleteMashallah,mpaji na muumbaji ni mungu. Umependeza na unaendana na umbile lako. Very beautifull smile. Go girl.
ReplyDeleteJAMANI ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!!!
ReplyDeleteWANAOMPONDA WANA LAO JAMBO. BINTI UMZURI, UNAPENDEZA. MICHU AHSANTE KAKA, NIMEOSHA MACHO.
MPG BX
Aise ngoma ya kibantu imetulia sana, ila michuzi uwe unaweka jina, wasifu wake na contacts zake basi.
ReplyDeleteAise watoto wa kibantu bomba mno! Kuanzia sura, kaunene kake, miguu na kila kitu!
Kweli Mungu yupo!
Kanikumbusha zile pochi za kike za miaka ya themanini ambazo hazikuwa na vibebeo.
ReplyDeleteNi mzuri wa asili lakini anahitaji kupata mnasihi wa vipodozi hasa vya kujipaka usoni, nywele pia, za asili ni bomba zaidi.
Nkyabo - Bongo
Kaka Kamera ya glob ya jamii yaona kweli kweli c mchezo, aminia kaka.
ReplyDeleteBig up.
BP.
Umependeza sana dada pia wewe ni mzuri?
ReplyDeleteMbona huyu hamsemi anauza sura yake? Wacheni unafiki.
ReplyDelete