Ndugu Ramadhani Dimando (OWITE) na familia yake
Wanasikitika kutangaza kifo cha mwanawe FATUMA RAMADHANI, kilichotokea Hospitali ya HINDU MANDAL jana alfajiri ya 22/6/2010 DAR-ES-SALAAM saa nane alfajiri.
Mazishi yatafanyika kesho baada ya sala ya saa saba mchana, msikiti wa KIBLA TEIN na msiba utakuwa GEREZANI (PORT VIEW) nyumbani kwa ndugu Godfrey Joseph Manoni. Habari ziwafikie wote wanaotufahamu popote pale walipo. Kwa mawasiliano:

Rama- +447957520401
Fatuma- +447867851142
Sauda- +442082707116
Manoni- +255784304525

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2010

    FATUMA, Rest in Peace.

    Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2010

    Poleni sana wafiwa; Dada Sauda, Ramadhan na Halima. Mwenyezi Mungu awatie nguvu muweze kustahimili msiba huu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezi. Mwenyezi Mungu amlaze pahala pema mpendwa wetu. Amen.

    Uli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...