Home
Unlabelled
sambusa za nyamna, chapati na dagaa wa kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
That is too greasy...
ReplyDeleteNaomba mnitumie kwenye email.
ReplyDeleteMhhhhhh!!huu mchanganyiko wala haufai
ReplyDeletemh! mkiharisha mnalalamika! too much.
ReplyDeletehaya mafuta ya olive au zile sumu za mafuta?
ReplyDeletekwanini mnapenda kula sumu (mafuta) kiasi hichi???????
ila uyu baba uwa namtamani nimle yeye!!hahahahaaaa anakaanga nouma
HIVI HII NDIO TABIA GANI YA KUTUTAMANISHA HIVI NA MISOSI YA NYUMBANI,YANI HAPA MATE YANANITOKA MUNGU WANGU EEE, DAGAA NI MOJA YA MBOGA NINAYO IPENDA SANA.
ReplyDeleteYANI HAK YANI NAOMBA NIULIZE HIVI INAWEZAKANA SHEFU WANGU WEWE HAPO KUNITUMIA DAGAA HAPA USA?HAKIKA SITANII.KAMA INAWEZEKANA TAFADHALI NIAMBIE PIA NATAKA NA UGA WA NGANO WA AZAM,UGA WA NGANO WA HAPA SIOMZURI NDUGU YANGU.
HII NI EMAIL ADREES YANGU
davinausa@hotmail.com
mdau
usa
sasa bona recipe hatuino jamani tokla jana tunasubiri
ReplyDeleteJamani hilo ni chuzi shata shata sio mafuta kama mnavyozania hulalalalalaaa
ReplyDeleteGood job bro keep it up
ReplyDeletechef issa nimekula shurba kama ulivyotuelekeza kuipika ndugu yangu mmoja alirudisha chenji sijui sababu ninini supu yote pwaaaaaaaaaaaaaaa mimi baada ya kula nikajisikia napata joto mwilini mhhhh nikasema sasa kazi imeanza ok tutajaribu kuipika tena lakini sasa naanza kuamini nasaidia ..........yalaaaaaaaaaaahhh
ReplyDeleteHelo helo dagaa wa kigoma ulaya hahahahhaaa ulienda nao au umetumiwa mhhhhh wabongo kwa kudumisha mila kazi kweli kweli akini sio vibaya kupenda misosi ya home
ReplyDeleteshusha utamu wa mapishi kijana
ReplyDeletehureeeeeeeeeeeee kama migebuka vile kudadadeki tupe rahaaaa hum hum hummmmmmmmmm araaambaaaaaaaaaa safi sana hawa dagaa bwana
ReplyDelete