Habari ndugu zangu,
Pitia blog ya
utapata recipe safi kabisa ya namna ya kuandaa misosi. ikiwa ni pamoja na chapati na nyama ya mbuzi. Kisha kesho utajifunza namna ya kuandaa samosa na dagaa wa kigoma.
Enjoy your day
Chef Issa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    That is too greasy...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    Naomba mnitumie kwenye email.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2010

    Mhhhhhh!!huu mchanganyiko wala haufai

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2010

    mh! mkiharisha mnalalamika! too much.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2010

    haya mafuta ya olive au zile sumu za mafuta?

    kwanini mnapenda kula sumu (mafuta) kiasi hichi???????

    ila uyu baba uwa namtamani nimle yeye!!hahahahaaaa anakaanga nouma

    ReplyDelete
  6. HIVI HII NDIO TABIA GANI YA KUTUTAMANISHA HIVI NA MISOSI YA NYUMBANI,YANI HAPA MATE YANANITOKA MUNGU WANGU EEE, DAGAA NI MOJA YA MBOGA NINAYO IPENDA SANA.

    YANI HAK YANI NAOMBA NIULIZE HIVI INAWEZAKANA SHEFU WANGU WEWE HAPO KUNITUMIA DAGAA HAPA USA?HAKIKA SITANII.KAMA INAWEZEKANA TAFADHALI NIAMBIE PIA NATAKA NA UGA WA NGANO WA AZAM,UGA WA NGANO WA HAPA SIOMZURI NDUGU YANGU.
    HII NI EMAIL ADREES YANGU
    davinausa@hotmail.com

    mdau
    usa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2010

    sasa bona recipe hatuino jamani tokla jana tunasubiri

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2010

    Jamani hilo ni chuzi shata shata sio mafuta kama mnavyozania hulalalalalaaa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2010

    Good job bro keep it up

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2010

    chef issa nimekula shurba kama ulivyotuelekeza kuipika ndugu yangu mmoja alirudisha chenji sijui sababu ninini supu yote pwaaaaaaaaaaaaaaa mimi baada ya kula nikajisikia napata joto mwilini mhhhh nikasema sasa kazi imeanza ok tutajaribu kuipika tena lakini sasa naanza kuamini nasaidia ..........yalaaaaaaaaaaahhh

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2010

    Helo helo dagaa wa kigoma ulaya hahahahhaaa ulienda nao au umetumiwa mhhhhh wabongo kwa kudumisha mila kazi kweli kweli akini sio vibaya kupenda misosi ya home

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2010

    shusha utamu wa mapishi kijana

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 05, 2010

    hureeeeeeeeeeeee kama migebuka vile kudadadeki tupe rahaaaa hum hum hummmmmmmmmm araaambaaaaaaaaaa safi sana hawa dagaa bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...