TANZANIA YOUTHS AGAINST ROAD ACCIDENTS (TAYARA) NI TAASISI MPYA ISIYO YA KISERIKARI(NGO) YENYE LENGO LA KUWAANDAA VIJANA WA KITANZANIA NA HATA WASIO WATANZANIA KATIKA VITA DHIDI YA AJALI BARABARANI KWA KUIELIMISHA JAMII MATUMIZI MAZURI NA BORA YA BARABARA ZETU.
ILI KUFANIKISHA MALENGO YETU TUMEANDAA KITABU KIZURI SANA AMBACHO TUNGEPENDA KIWAFIKIE WAENDESHA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI, WAPANDA BAISKELI, NA WATEMBEA KWA MIGUU KOTE TANZANIA. TUNATAFUTA MDHAMINI/WADHAMINI ILI KUCHAPISHA VIJITABU HIVYO KWA WINGI.
TUKO TAYARI KUDHAMINIWA KWA MASHARTI YA KUGAWANA ASILIMIA BAADA YA KUTOA GHARAMA ZA UCHAPISHAJI.

MAWASILIANO: Mobile: 0718 861265
au Email: tayara2010@gmail.com

OUR MOTTO: TANZANIA BILA AJALI INAWEZEKANA!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2010

    kaka michuzi mbona hutufahamishi kifo cha manute bol mwafrica aliyekuwa NBA miaka ya 90 alikuwa mrefu kushinda hashim yeye ni futi 7.7 kafa kwa kidney failure

    ReplyDelete
  2. Umeshaangalia uwezekano wa self publishing?

    You real don't need wadhanini in this day and age. Kuna sites zinafanya for free then (pay per sale) or for a small upfront fee. Ila hisi sites kazi yako kubwa ni kukitangaza kitabu chako. Kama ni kizuri kitajiuza chenyewe la sivyo ni juhudi yako ndio italipa..

    Ungetumia hizi sites for the first edition halafu ukishapata income kidogo ndio the second edition unatumia makampuni ili uweze kureach more people through bookstores....

    Here are some useful links...
    Good luck and HTH

    Bowker

    E-booktime

    ISBN

    Global publishing

    ISBN NUMBERS

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    1.wananchi tushirikishwe pia katika
    kuchangia mawazokatika hicho kitabu.
    kwani ajali zimewagusa watu wengi na
    zinaendelea kutugusa.
    2.Michezo ya Kuigiza ya luninga na Radio isisahaulike pia,kuzingatia
    na Literacy rate-wengine hatujui
    kusoma na wala hatuna utamaduni huo,
    n.k

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...