Home
Unlabelled
TBL yaadhimisha siku ya mazingira duniani leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli hali ya uchafu Dar imeshamiri mno. Sielewi imekuwaje hadi wa-Tanzania tukakumbatia kwa nguvu tabia hii.
ReplyDeleteInahitajika usafi ufanywe na wote siku zote na sio siku maalum tu kama hii ya mazingira duniani. Why not emulate Kagame and have at least every second weekend dedicated to usafi mtaani. Bars should be closed on those days everybody MUST be involved, with penalty to those ignoring the by-law..... au mnasemaje wadau?
This sickens me to puke, I bet it would cost them less to put a sewer system for less than what they are giving away in some other unnecessary donations. I understand the photo app they are having here for their publicity, however, they can do better than that.
ReplyDeletethink about it!!!
Mfano wa kuigwa. Ila isiwe mara moja kwa mwaka.
ReplyDeleteUongozi wa TBL unahistahili pongezi! sidhani km ishawahi kutokea Tanzania! au kwa kuwa uongozi wa juu ni wageni? wao hawaoni ajabu kujishughulisha kwa kazi za usafi, hivi ingekuwa uongozi wa juu ni wazawa! Mkurugenzi angekubali kuacha ofisi na kwenda kufanya Usafi? achia mbali Mkurugenzi! Meneja je, angekubali kwenda kufanya usafi?
ReplyDeleteMh..!! Publicity.com - Nagira A Tawn.
ReplyDeletemnaona haya halafu mnasema mambo ya ughaibuni ya kuiga hayana maana. Hii yote ya wenzetu volunteer muhimu sana kwa taifa letu..na pia ukiona mtu akatupa uchafu okota weka mahali panapotakiwa. Sio kungojea watu waje wasafishe tu..Kila mtu akiwajibika tutafika tu..
ReplyDelete1. mambo ya kutema mate hovyo mwiko
2. kutupa bazoka kila mahali mwiko
3. kutupa takataka tu hovyo hovyo mwiko. If you see someone is doing that say something
TBL WAMEPEWA ADHABU NDOGO SANA KWA KOSA LA KUHUJUMU SBL.
ReplyDeleteHIS MASTERS VOICE, MICHUZI STOP BEING COWERED YOU MUST RESPECT ALL PEOPLES OPINIONS NOT PRO ONLY, IT HURTS TO SEE THAT YOU ARE TRYING TO HIDE THE TRUTH TO SAVE THE MASTER. ARE THEY GIVING YOU A CUT????????
ReplyDeleteJAMANI DAR CHAFU......!!
ReplyDeleteHii sio mazingira bali ni usafi. Tusichanganye mambo hapa. Kwanza nawaonea huruma na mabuti yao ya mvua na jua kali la bongo maana hiyo ngoma mpira kaka hiyo..
ReplyDeleteHalafu si kazi yao na wala haisaidii chochote.
Wapo wahusika wa kazi hii na ambao hawaifanyi wanaitwa Serikali. Ila wahangaikaji wakiweka vikapu vyao vya vitumbua Serikali hiyo ipo kuja kuwanyang'anya mali zao...wizi mtupu.
Kama wanataka kusaidia mazingira wasitafute kupigwa picha wanaungua jua na mabuti ya mvua bali wakae na wataalam wabuni project za mazingira ambayo wataitolea hela ..mfano kuboresha bustani za mapumziko, kuboresha bonde la jangwani liwe na mvuto, livute viumbe mbalimbali na pengine kulifanya liwe green belt.
Kwa kifupi hii ni PR tu hamna lolote!!
Mzawa
kudadadadeki si mchezo usafi kwanza. sipati picha wakikutana na mavi ya wahindi kwenye hiyo mitaro au kwenye hizo lambo (flying toilets) zinazotumiwa na wahindi kwenye majumba ya NHC ... tehe tehe tehe!!!
ReplyDeletekidumu chama cha mafukara.... Watanzania usafi kwetu ni kama donda ndugu kwani laiti kama tungelikuwa tuna AIBU japo 1/10 basi mambo kama haya yangelitoweka enzi zile za ujima....... kweli RAIS na Wenzi wake tunao na wadanganyika sie tusivyoweza kujiuliza maendeleo ni nini kweli hii ni AIBU KWA KILA MTANZANIA.... Kama mnakumbuka ile hadithi ya ...'afadhali yangu sijasema ....' basi nami nasema "afadhali niliwahi kukumbia hiyo nchi" kwani kuanzia Viongozi hadi wananchi wanaowachagua kila siku ni vichwa vya wendawazimu kwani mpaka kesho sielewi kwanini hawawaulizi viongozi wao ni niniwameifanyia nchi yao tokea miaka 35 iliyopita ikiwa bado mji mashuhuri kama DAR kuna nyumba za udongo na uchafu unaozidi umri baadhi ya wanablog hii....AIBU AIBU
ReplyDeleteMdau, Cleveland,oh
Uchafu kando kando ya TBL???? Si ni wajibu wenu kuhakikisha kuwa ni pasafi kila leo???? Mnasubiri pachafuke weee ndio mjipachike katika siku ya mazingira???? Mfano mliopaswa kuuonesha ni kwamba siku ya mazingira imewakuta mkiwa wasafi, na sio siku ya kusafisha. Hivyo mlipaswa kwenda kusafisha sehemu nyingine ambayo ni public (zaidi), kama vile kufyeka nyasi Muhimbili, kurekebisha mazingira ya mashuleni n.k. Mnisamehe, ila kwa kweli naona mmejidhalilisha tu i.e. siku ya mazingira imewa-expose badala ya nyie kui-expose kwa jamii na kuchochea tabia ya usafi mara kwa mara. Hiyo ingewapa PR ya nguvu!
ReplyDelete