Maofisa wa Vodacom wakijitambulisha kwa wananchi wa kata za Kilima wakati wa hafla ya kukabdhi msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi


Mkurugenzi wa vodacom foundation kanda ya kaskazini ,Nguvu Kamanda (shoto)akipeana mkono na paroko Damian Temere wa parokia ya Kilema katika hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi katika kijiji cha Kimaroroni ,kulia ni mkurugenzi wa kitengo cha vodacom foundation Mwamvita Makamba na Mwenyekiti wa kijiji cha Kimaroroni Maurice Mathias,Vodacom imetoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho.
Mkurugenzi wa kitengo cha vodacom foundation Mwamvita Makamba (kulia)akipeana mkono na Diwani wa viti maalum kata ya kilema kusini katika hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi katika kijiji cha Kimaroroni ,kulia ni mkurugenzi wa vodacom foundation kanda ya kaskazini Nguvu Kamanda huku Mwenyekiti wa kijiji cha Kimaroroni Maurice Mathiasna diwani wa kata ya kilema kusini Exuper Mosha wakishuhudia zoezi hilo,Vodacom imetoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho .
Mkurugenzi wa kitengo cha vodacom foundation Mwamvita Makamba (kulia)akiwakabidhi wananchi wa kata za Kilema mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 katika katika hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha polisi katika kijiji cha Kimaroroni. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2010

    Nguvu Kamanda ... Product ya Mzumbe high school .... mkuu naona uzi wako ni ule ule charming , smiling face .. eh teh kaza buti kwa kwenda juu kaka ...from ur fellow student .ohh namkumbuka hapa mwl Wibo( R.I.P) SHM ( simple Harmonic Motion ... we must do it every time to and fro .....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2010

    Kaka Michu,kuna ile issue uliitoa ya dada wa Kitz aliepotea L.A. nimeiona facebook kuwa amepatikana kauwawa na kutiwa kwenye bin bag.hebu ifuatilie zaidi tupate yaliyojiri .RIP dada yetu.
    Mdau wa UK.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2010

    Hili jina la Nguvu Kamanda limenifurahisha sana, wale wanaoajiri kwa kuvizia kabila la mtu kwa jina hili watakuwa wameliwaaaaa! Nguvu Kamanda salamu zako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...