Mkurugenzi wa kampuni ya Dar Metropolitan ambao ni waandaaji wa Redds Miss Ilala Jackson Kalikumtima akiongea wakati wa mchuano wa vipaji kwa washiriki wa mwaka huu wa wilaya hiyo uliofanyika usiku wa kuamkia leo hoteli ya Lamada Apartments, Ilala, jijini Dar
Da'Lilly wa TBL akitambulisha washindi wa tano bora wataochuana siku ya fainali za Redds Miss Ilala Jumamosi Juni 26 katika ukumbu wa Ubungo plaza jijini Dar
Warembo wa Miss Temeke 2010 wakitambulishwa jukwaani
Baadhi ya warembo wa Miss Kinondoni 2010 walikuwepo pia




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...