umati mkubwa umekusanyika usiku huu kushuhudia mechi ya Ghana na Uruguay kwenye viwanja vya Biafra jijini Dar katika screen kubwa kuliko yote nchini kwa hisani ya AfriCinema inc. ambayo Mkurugenzi wake mkazi Tanzania Bw. Stephen Rweikiza amesema huu ndio mwanzo tu wa mchakato wa kampuni hiyo kuonesha kwa umma uhondo kama huu
sehemu ya umati usiku huu viwanja vya Biafra

Mkrugenzi Mkazi wa AfriCinema Bw. Stephen Rweikiza (wa nne kutoka shoto) akisimamia maonesho ya bure ya kombe la dunia katika viwanja vya Biafra kwa projector ya kisasa na screen kubwa kuliko yote nchini
Screen kubwa kuliko yote ya AfriCinema
wadau zaidi ya 3000 wakifaidi uhondo huo wa AfriCinema
screen ya AfriCinema ikiendelea kutoa burudani ya kombe la dunia






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2010

    Uruguay not Paraguay.

    Screen? Au Projector?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2010

    Inakuwaje hapo mvua ikishuka?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2010

    Si mchezo! Naona Africinema inatutoa kimasomaso. Kwenye nchi ambayo sio kila mtu ana uwezo wa kununua TV, hii imetulia. Niliona ni vizuri nijifunze zaidi kuhusu hawa jamaa wa Africinema, tovuti yao ni www.africinema.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2010

    plase,ni projector hiyo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2010

    So what ni screen au projector who cares>>>Acheni wivu wapongo bwana...badala ya kuangalia maendeleo ya mtu mnakwanyua vijimaneno vyenu...Najua mliokomalia hiyo difference pua zinawavuja jasho kwa wivu tu hapo mlipo

    Mvua ikija watajua jinsi ya kufanya acheni longo longo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2010

    Hizi ndio faida za Open space inamsaidia kila mtu tatizo Mifisadi wakikutana na wazee wa mtindio wa ubunifu (JIJI) wanamegeana tu kwa kisingizio cha kuwekeza,Mahotel nk si wakejenge huko nje ya miji mbona maviwanja kibao??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...