Home
Unlabelled
ankal avamiwa na mlimani TV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WABUNGE WA KENYA WAMEJIPANDISHIA MISHAHARA MIKUBWA SANA RAIS WA KENYA ANAPATA KARIBU SAWA NA OBAMA ANAVYOPATA NI SHILINGS 700,000,000, KWA MWAKA NA WABUNGE WANAPATA KARIBU SHS 20,000,000 KWA MEZI JAMANI HII NI SAWA TUJADILI HILI JAMBO KWA VILE TUKO AFRIKA MASHARIKI PAMOJA ISIJE LIKAAMBUKIZA KWETU
ReplyDeletewewe tunakuaminia
ReplyDeletemithupu post hiyo news ya bunge wa kenya watu tuichambue,maana kamau anajidai anajua kusema,anaona utumbo huo lakini!!
ReplyDeleteHaiqal? Au HaikaEli?
ReplyDeleteNyangema anajiita 2pac.
Wee haya wee.
kaka michuzi ungewekarimu wageni hata kwa viti hasa huyo mwandishi wa habari vinginevyo wawe waliomba kusimama.
ReplyDeleteNaomba kuwasilisha.
Jamani ankal na wewe umekulapo kachumvi, ka umri kametembea sio mchezo.
ReplyDeleteWewe sio mchagga kweli ndio maana. Unafanya interview za bure? ahhhhh...walipishe haoo...Hizo TV zao zitapata watu wakuangalia wengi siku hiyo interview yako ikirushwa hewani...
ReplyDeleteLibeneke ni bure tu kupost lakini mengine yote pwa pwa cash or check...if its a check write it down before we start...nakuja bongo soon niwe manager wako....Tutatajirika blog ina jina unashindwa kulitumia..mweeeeeeeeee
mithupuu weka hiyo clip acha kutuyeyusha
ReplyDelete