mwandishi Anwar Mkama (kulia) na Mpiga Picha Haiqal Mushi wa Mlimani TV wakiwa wamemvamia ankal mezani kwake mchana huu kwa intavyuu kuhusu libeneke la Globu ya Jamii na zinginezo.
ankal akiwa kawekwa kati
ankal akijitahidi kupanchi maswali bila kigugumizi wala kwikwi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2010

    WABUNGE WA KENYA WAMEJIPANDISHIA MISHAHARA MIKUBWA SANA RAIS WA KENYA ANAPATA KARIBU SAWA NA OBAMA ANAVYOPATA NI SHILINGS 700,000,000, KWA MWAKA NA WABUNGE WANAPATA KARIBU SHS 20,000,000 KWA MEZI JAMANI HII NI SAWA TUJADILI HILI JAMBO KWA VILE TUKO AFRIKA MASHARIKI PAMOJA ISIJE LIKAAMBUKIZA KWETU

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2010

    wewe tunakuaminia

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2010

    mithupu post hiyo news ya bunge wa kenya watu tuichambue,maana kamau anajidai anajua kusema,anaona utumbo huo lakini!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2010

    Haiqal? Au HaikaEli?

    Nyangema anajiita 2pac.

    Wee haya wee.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2010

    kaka michuzi ungewekarimu wageni hata kwa viti hasa huyo mwandishi wa habari vinginevyo wawe waliomba kusimama.
    Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2010

    Jamani ankal na wewe umekulapo kachumvi, ka umri kametembea sio mchezo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2010

    Wewe sio mchagga kweli ndio maana. Unafanya interview za bure? ahhhhh...walipishe haoo...Hizo TV zao zitapata watu wakuangalia wengi siku hiyo interview yako ikirushwa hewani...

    Libeneke ni bure tu kupost lakini mengine yote pwa pwa cash or check...if its a check write it down before we start...nakuja bongo soon niwe manager wako....Tutatajirika blog ina jina unashindwa kulitumia..mweeeeeeeeee

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2010

    mithupuu weka hiyo clip acha kutuyeyusha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...