2001 Toyota Harrier LEXUS
PS/PW/AC/AB/ABS/STEREO/TV/CARNAVIGATOR/DVDPlayer/20INCH ALLUMINIUM FOIL/6MONITORS/CD Changer
3000CC, MILEAGE 56,000KM.
ASKING PRICE ; TSH M24
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.
WASILIANA NASI .
YAMELIPIWA USHURU.
IMPORTED FROM JAPAN.
HAYA NI BAADHI TU, YAPO KIBAO NA YA KILA AINA
LUCUS (T) LTD
OLD BAGAMOYO ROAD,
OPPOSITE NA SHOPPERS PLAZA.
TEL: 255 22 277 1316
Mobile. 0713 335 474 /0753 98 2717
www.lucusjapan.com
PS/PW/AC/AB/ABS/STEREO/TV/CARNAVIGATOR/DVDPlayer/20INCH ALLUMINIUM FOIL/6MONITORS/CD Changer
3000CC, MILEAGE 56,000KM.
ASKING PRICE ; TSH M24
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.
WASILIANA NASI .
YAMELIPIWA USHURU.
IMPORTED FROM JAPAN.
HAYA NI BAADHI TU, YAPO KIBAO NA YA KILA AINA
LUCUS (T) LTD
OLD BAGAMOYO ROAD,
OPPOSITE NA SHOPPERS PLAZA.
TEL: 255 22 277 1316
Mobile. 0713 335 474 /0753 98 2717
www.lucusjapan.com
INA DVD PLAYER AU TV ? AU VYOTE KWA PAMOJA.
ReplyDeleteThe car is cute but the price is more cuter
ReplyDeleteJe kaka michuzi mimi nakaa buguruni nikitaka hili gari watanipunguzia kidogo?. Maana sihitaji Navigation kuelekea Buguruni thanks.
ReplyDeleteGARI ZURI.
ReplyDeleteSPECIFICATION NA PICHA ZIPO FINE.
JE ALLUMINIUM FOIL NI KWA AJILI YA KULIFUNGA KAMA CHAKULA(TAKE AWAY ) AU NI ALUMINIUM WHEELS
car navigator kwa barabara gani bongo?
ReplyDeleteMi nataka kwa mkopo wanikate kila mwezi miaka 4, na huu umasikini watufikirie jamani hii kitu inawezekana!
ReplyDeletelexus na harrier ni vitu viwili tofauti.ni sawa na kusema escudo na vitara.hiyo gari hajatoka japan.kama ingetoka japan ingeitwa harrier
ReplyDeleteWewe unaeuliza( Anon. wa Sat Jul 17, 10:10:00 AM) kuwa "car navigator" kwa brbr gani bongo, mbona nyingi huwa ni built in hizo toka inakotoka?! Sasa kwakuwa haitumiki bongo unataka ing'olewe kwa ajili wewe tu mtu mmoja usie jua kitu huitaki?r u insane?
ReplyDeleteHalafu naona wabongo wenzangu wachache bado wanataka vitu rahisi mnooo, ingieni mtandaoni magari bei rahisi yapo mengi mno tu, mfano harrier dola 3,000usd,etc. Ila ukilizwa ujue umejitakia, maana bei nyingine huwa hata hazilingani na thamani ya gari ila mtu anaona kapata cha bure/cha kutupa!kumbe kapatikana.
wacheni uzushi kama huwezi kununua basi tulia tu,hii bei ni ya kutupa kwa hiyo gari na spec zake,beiya kuinunua na usafiri then ushuru wa TRA yetu,sio chini ya 40,milion.kwa njii hii is very very cheap!!!
ReplyDeleteKUTEMBEA NI KUJIFUNZA MENGI
ReplyDeleteKipenda roho ni dawa, lakini tuwe makini kuchagua vitu kwa misingi ya ukweli. Walioendelea wanaangalia chombo unachohitaji na mazingira unayoishia. Sijapata picha kuwa na gari yenye navigator barabara gani za bongo, na wakati hiyo navigator inaongeza gharama ya gari wakati huitumii.
Mazingira ya barabara zetu ambazo nyingi zake hazijawa paved road hizo elecronic screens baada ya miezi kadhaa zitakuwa na build up kwa tabaka la mavumbi.
Ushauri wa bure tuwe makini katika uchaguzi wa kupata vyombo vya usafiri vinavyoendana na mazingira yetu.
Huku ughaibuni nilishangaa jamaa mmoja toka Afrika baada ya kufanya kazi kwa miezi 8 tu akachomoa kausafiri kwa finance ambacho hata president wa kampuni na wengi waliofanya kazi miaka mingi wakabaki wanamwangalia tu, huku wakininong'oneza nini cha kumshauri jamaa.
Tunatakiwa kuweka mambo ya msingi na muhimu zaidi kwa maisha kama ujenzi wa nyumba ambao ni mali isiyoharibika kirahisi au kuhamishika, uanzishaji wa viwanda vidogo vidogo vya kusindika vyakula na hivyo wamachinga watatembeza vyakula au karanga zilizohakikiwa kiafya na hivyo kuwapa wengi ajira, uchangiaji wa maendeleo katika sekta za afya, elimu na miundo mbinu na hata zikaitwa kwa jina lako hapo tutakutolea kofia. Lakini ya kuonyeshana nani ana nini barabarani ni sawa na wale jamaa wa miaka ya TANU wakiona jamaa anashati zuri anauliza umenunua bei gani, na yeye anaenda dukani kumwambia muuzaji nahitaji shati la bei fulani au zaidi alilovaa fulani. Mmenipata waoshavinywa?
Kazi kwenu
Jamani hii gari ni kali, na watu wanaopenda mambo mazuri wameiona bila shaka watawasiliana na muuzaji.
ReplyDeleteNyie wengine mnaojitia wajuaji sijui navigator ya nini, sijui jenga nyumba kwanza kwa kweli mnakera.
Kila jambo na wakati wake eh, kama bado huna uwezo wa kununua mchuma kama huu za bei poa kama Toyota Vitz zipo kibao tu, usikonde.
CANDID SCOPE, WELL EXPRESSED POINT, YOU ARE JUST RIGHT AND GENIUS. I KNOW SOME PEOPLE WILL GO AGAINST YOU, BUT YOU HAVE LAID BARE THE IMPORTANT POINTS
ReplyDeleteHILI GARI LIKO WAPI? DAR AU JAPAN, MAANA WEBSITE INAONESHA GARI IKO JAPAN AU?
ReplyDeletehii gari itamfaa sekreteri wangu
ReplyDeletewacha nimwambie aje kuiona
(US Blogger)
Candid scope kuna ya ukweli unayosema na kuna yasio na ukweli katika habari yako.
ReplyDelete1. Ni kweli waagizaji wa magari TZ wanatakiwa waangalie na kuingiza magari kutokana na mazingira yetu. Hiyo gari ingekua rahisi zaidi kama isingekua na hiyo navigator. Sasa atakayeinunua hataitumia atakua analipia kitu ambacho hakitamsaidia kabisa. Sio leo au kesho hiyo navigator itaweza kufanya kazi. Intenet yenyewe ndio hiyo mpaka barabara ziwekewe majina na internet ifanye kazi vizuri sio leo wala kesho.
2. Kuhusu huyo mwenzako unayesikitika kua amenunua gari nzuri kuliko hata president baada ya miezi 8 tu, sioni sababu ya nyie kusikitika kabisa kwa vile hujui ya mtu na kama wanavyosema wenzetu what you don't know you don't know.... Wewe mwenzangu unategemewa na ukoo mzima huko kwenu huwezi jua ya mwenzako. Labda huyo kaletwa na baba, kila mara anatumiwa hela huku. Nyumbani ana nyumba nne zinamsubiri akirudi sasa ajenge nyumba nyingine ya nini? Maisha ni tofauti sana tu ingawaje wote tunapiga box huku. Kuna wengine huku wako kama vacation tu everything is ready set for them back home na wale wengine ambao usipotuma hela kwa mwezi huko nyumbani watakufa na njaa na umeme kukatwa..You get my point. Kama anaweza kulipa bills zake na hawasumbui nyie kwa kukopa hela ya gas kila siku..hey mwacheni atanue na mchuma wake...Husikii yule mama alikua anahojiwa bongo juzi juzi akasema.. "yaani yule maisha yameshamyookea tayari ana mchuma wake sasa hivi" lahaulah mwenzenu maisha yameshamyookea ...ana mchuma wake mkali kuliko hata boss...
@US-Blogger
ReplyDeleteMzee mzima wewe umesoma OXFORD na ndiye mchumi mkali kuliko wengi hapa tamzania. mbona usimchukulie secretari wako huo mchuma bwana? hacha ubahili kama nabii... hela unazo bwana
Hii tv kwa ajili ya dereva au abiria mambo mengine mimi naona ni kutafuta kifo tu.Hizo ajali zilizopo ina maana hazitoshi mpaka mnataka Kanumba(bongewood)awe sababu!
ReplyDeleteKWA bongo, nadhani aluminium foil(kufungia chips to go) inamatumizi zaidi ya Navigator.
ReplyDeleteLOL