KWA MBELE NA UBAVUNI KUUME
KWA NYUMA NA UBAVUNI KUSHOTO

KWA NDANI

TV NDANI

2001 Toyota Harrier LEXUS
PS/PW/AC/AB/ABS/STEREO/TV/CARNAVIGATOR/DVDPlayer/20INCH ALLUMINIUM FOIL/6MONITORS/CD Changer
3000CC, MILEAGE 56,000KM.
ASKING PRICE ; TSH M24
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.
WASILIANA NASI .
YAMELIPIWA USHURU.
IMPORTED FROM JAPAN.
HAYA NI BAADHI TU, YAPO KIBAO NA YA KILA AINA

LUCUS (T) LTD
OLD BAGAMOYO ROAD,
OPPOSITE NA SHOPPERS PLAZA.
TEL: 255 22 277 1316
Mobile. 0713 335 474 /0753 98 2717
www.lucusjapan.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2010

    INA DVD PLAYER AU TV ? AU VYOTE KWA PAMOJA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2010

    The car is cute but the price is more cuter

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2010

    Je kaka michuzi mimi nakaa buguruni nikitaka hili gari watanipunguzia kidogo?. Maana sihitaji Navigation kuelekea Buguruni thanks.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2010

    GARI ZURI.
    SPECIFICATION NA PICHA ZIPO FINE.

    JE ALLUMINIUM FOIL NI KWA AJILI YA KULIFUNGA KAMA CHAKULA(TAKE AWAY ) AU NI ALUMINIUM WHEELS

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2010

    car navigator kwa barabara gani bongo?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2010

    Mi nataka kwa mkopo wanikate kila mwezi miaka 4, na huu umasikini watufikirie jamani hii kitu inawezekana!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2010

    lexus na harrier ni vitu viwili tofauti.ni sawa na kusema escudo na vitara.hiyo gari hajatoka japan.kama ingetoka japan ingeitwa harrier

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2010

    Wewe unaeuliza( Anon. wa Sat Jul 17, 10:10:00 AM) kuwa "car navigator" kwa brbr gani bongo, mbona nyingi huwa ni built in hizo toka inakotoka?! Sasa kwakuwa haitumiki bongo unataka ing'olewe kwa ajili wewe tu mtu mmoja usie jua kitu huitaki?r u insane?

    Halafu naona wabongo wenzangu wachache bado wanataka vitu rahisi mnooo, ingieni mtandaoni magari bei rahisi yapo mengi mno tu, mfano harrier dola 3,000usd,etc. Ila ukilizwa ujue umejitakia, maana bei nyingine huwa hata hazilingani na thamani ya gari ila mtu anaona kapata cha bure/cha kutupa!kumbe kapatikana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2010

    wacheni uzushi kama huwezi kununua basi tulia tu,hii bei ni ya kutupa kwa hiyo gari na spec zake,beiya kuinunua na usafiri then ushuru wa TRA yetu,sio chini ya 40,milion.kwa njii hii is very very cheap!!!

    ReplyDelete
  10. Candid ScopeJuly 17, 2010

    KUTEMBEA NI KUJIFUNZA MENGI
    Kipenda roho ni dawa, lakini tuwe makini kuchagua vitu kwa misingi ya ukweli. Walioendelea wanaangalia chombo unachohitaji na mazingira unayoishia. Sijapata picha kuwa na gari yenye navigator barabara gani za bongo, na wakati hiyo navigator inaongeza gharama ya gari wakati huitumii.
    Mazingira ya barabara zetu ambazo nyingi zake hazijawa paved road hizo elecronic screens baada ya miezi kadhaa zitakuwa na build up kwa tabaka la mavumbi.

    Ushauri wa bure tuwe makini katika uchaguzi wa kupata vyombo vya usafiri vinavyoendana na mazingira yetu.

    Huku ughaibuni nilishangaa jamaa mmoja toka Afrika baada ya kufanya kazi kwa miezi 8 tu akachomoa kausafiri kwa finance ambacho hata president wa kampuni na wengi waliofanya kazi miaka mingi wakabaki wanamwangalia tu, huku wakininong'oneza nini cha kumshauri jamaa.

    Tunatakiwa kuweka mambo ya msingi na muhimu zaidi kwa maisha kama ujenzi wa nyumba ambao ni mali isiyoharibika kirahisi au kuhamishika, uanzishaji wa viwanda vidogo vidogo vya kusindika vyakula na hivyo wamachinga watatembeza vyakula au karanga zilizohakikiwa kiafya na hivyo kuwapa wengi ajira, uchangiaji wa maendeleo katika sekta za afya, elimu na miundo mbinu na hata zikaitwa kwa jina lako hapo tutakutolea kofia. Lakini ya kuonyeshana nani ana nini barabarani ni sawa na wale jamaa wa miaka ya TANU wakiona jamaa anashati zuri anauliza umenunua bei gani, na yeye anaenda dukani kumwambia muuzaji nahitaji shati la bei fulani au zaidi alilovaa fulani. Mmenipata waoshavinywa?
    Kazi kwenu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2010

    Jamani hii gari ni kali, na watu wanaopenda mambo mazuri wameiona bila shaka watawasiliana na muuzaji.

    Nyie wengine mnaojitia wajuaji sijui navigator ya nini, sijui jenga nyumba kwanza kwa kweli mnakera.

    Kila jambo na wakati wake eh, kama bado huna uwezo wa kununua mchuma kama huu za bei poa kama Toyota Vitz zipo kibao tu, usikonde.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2010

    CANDID SCOPE, WELL EXPRESSED POINT, YOU ARE JUST RIGHT AND GENIUS. I KNOW SOME PEOPLE WILL GO AGAINST YOU, BUT YOU HAVE LAID BARE THE IMPORTANT POINTS

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 17, 2010

    HILI GARI LIKO WAPI? DAR AU JAPAN, MAANA WEBSITE INAONESHA GARI IKO JAPAN AU?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 17, 2010

    hii gari itamfaa sekreteri wangu

    wacha nimwambie aje kuiona

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2010

    Candid scope kuna ya ukweli unayosema na kuna yasio na ukweli katika habari yako.

    1. Ni kweli waagizaji wa magari TZ wanatakiwa waangalie na kuingiza magari kutokana na mazingira yetu. Hiyo gari ingekua rahisi zaidi kama isingekua na hiyo navigator. Sasa atakayeinunua hataitumia atakua analipia kitu ambacho hakitamsaidia kabisa. Sio leo au kesho hiyo navigator itaweza kufanya kazi. Intenet yenyewe ndio hiyo mpaka barabara ziwekewe majina na internet ifanye kazi vizuri sio leo wala kesho.

    2. Kuhusu huyo mwenzako unayesikitika kua amenunua gari nzuri kuliko hata president baada ya miezi 8 tu, sioni sababu ya nyie kusikitika kabisa kwa vile hujui ya mtu na kama wanavyosema wenzetu what you don't know you don't know.... Wewe mwenzangu unategemewa na ukoo mzima huko kwenu huwezi jua ya mwenzako. Labda huyo kaletwa na baba, kila mara anatumiwa hela huku. Nyumbani ana nyumba nne zinamsubiri akirudi sasa ajenge nyumba nyingine ya nini? Maisha ni tofauti sana tu ingawaje wote tunapiga box huku. Kuna wengine huku wako kama vacation tu everything is ready set for them back home na wale wengine ambao usipotuma hela kwa mwezi huko nyumbani watakufa na njaa na umeme kukatwa..You get my point. Kama anaweza kulipa bills zake na hawasumbui nyie kwa kukopa hela ya gas kila siku..hey mwacheni atanue na mchuma wake...Husikii yule mama alikua anahojiwa bongo juzi juzi akasema.. "yaani yule maisha yameshamyookea tayari ana mchuma wake sasa hivi" lahaulah mwenzenu maisha yameshamyookea ...ana mchuma wake mkali kuliko hata boss...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 18, 2010

    @US-Blogger
    Mzee mzima wewe umesoma OXFORD na ndiye mchumi mkali kuliko wengi hapa tamzania. mbona usimchukulie secretari wako huo mchuma bwana? hacha ubahili kama nabii... hela unazo bwana

    ReplyDelete
  17. Hii tv kwa ajili ya dereva au abiria mambo mengine mimi naona ni kutafuta kifo tu.Hizo ajali zilizopo ina maana hazitoshi mpaka mnataka Kanumba(bongewood)awe sababu!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 19, 2010

    KWA bongo, nadhani aluminium foil(kufungia chips to go) inamatumizi zaidi ya Navigator.
    LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...