President Jakaya Mrisho Kikwete meets Libyan Leader Col.Muammar Gaddafi at Kampala Munyonyo international Conference centre during the on going 15th African union summit yesterday evening.President Jakaya Mrisho Kikwete(centre) the host President Yoweri Kaguta Museveni(right) together with Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi(left) arrive for a closed session of the 15th African Union Summit, at Speke’s Resort Conference Centre in Munyonyo Kampala yesterday afternoon.
(photos by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2010

    Dr. Livingstone....i presume!?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2010

    HALA MADRIDISMO
    RAUL BIDS MADRIDISMO FAREWELL REAL MADRID ICON

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2010

    Anon wa Tue Jul 27, 12:54:00 PM umenikumbusha mbali.

    Pale memorial centre ya Dr Livingstone Ujiji Kigoma... Kuna yule mzee anaeeleza historia ya Dr Livingstone kwa kiinglish (smile!!). Nampenda sana yule mzee: kama bado anafanya kazi pale then anafaa kupongezwa sana na kuwezeshwa zaidi kwa kazi yake nzuri. Mzee anapofikia hapo pa "Dr. Livingstone....i presume!?" huwa ndio naona raha ya Kigoma (mwisho wa reli). Karibuni ujiji.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2010

    gadafi noma,hizi kwa nini viongozi wa africa msiwe majasiri kama gadafi,japo nchi za western wanamuita dikteta lakini jamaa nakubali ndani ya nchi yake na africa kwa ujumla,kawatoa wananchi wake kwenye umasikini japo aliwekewa vikwazo na nchi za ulaya na marekani,only mafuta lakini kaweza kuibadili nhi yake,na kuitetea africa bila woga,sisi umeshabadili marais wanne,tuna dhahabu,almas,tanzanite,gesi,ardhi yenye rutuba,bahari kubwa kuliko nchi yeyote africa mashriki na kati,maziwa makubwa yote duniani yako hapa,population kubwa ya watu,tena vijana,lakini wapi,tunasikia tu awamu a kwanza,pili,tatu,nne,baada miaka 5 ya 5.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2010

    Nimekumbushwa mbali sana na mtoa maoni wa kwanza na watatu. nilipofika kigoma mara ya kwanza mwenyeji wangu alinitembeza pale ujiji kwenye makumbusho ya livingstone. Na mimi kila mgeni aliyekuja kunitembelea kigoma nilimtembeza pale na mara zote ni yule mzee ndie aliyekuwa anatoa maelezo ya kiswakinge chake. Ilifika wakati nikawa nafahamu hata sentensi inayofuata kabla hajatamka hahahaa!! yule mzee alimeza historia yote!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2010

    JK MAAFISA WAMEJITAHIDI SANA KUCHOMA ZILE SILAHA ZA BUNDUKI "MAGOBORE" NA NYINGINE ZA JADI. LAKINI ONGEA NA WAZIRI WA MAMBO YA MAZINGIRA AWEKE UTARATIBU WA KITAALAM WA KUTEKETEZA/KUCHOMA VITU. NI MARA NYINGI SANA MNAJICHOMEA VITU HOVYO HOVYO TU KAMA NDANI YA UWANJA WA "MPIRA/MICHEZO".UTASHINDA UCHAGUZI HUITAJI VIZURI TUU.. KUJINADI KWA JINSIA ZISIZOKUWA NA UTARATIBU WA KITAALAMU....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2010

    Mtoa mada ya kwanza abt Ujiji ni huyohuyo anajisimulisha kujifanya story yake ni sensitive

    yuko mmoja tu anajiongelesha kwa kutoa koments tofautitofauti

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2010

    wala sio kuwa mto maoni ni huyo huyo kuhusu ujiji, nakwambia karibu ujiji ujionee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...