

(photos by Freddy Maro)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dr. Livingstone....i presume!?
ReplyDeleteHALA MADRIDISMO
ReplyDeleteRAUL BIDS MADRIDISMO FAREWELL REAL MADRID ICON
Anon wa Tue Jul 27, 12:54:00 PM umenikumbusha mbali.
ReplyDeletePale memorial centre ya Dr Livingstone Ujiji Kigoma... Kuna yule mzee anaeeleza historia ya Dr Livingstone kwa kiinglish (smile!!). Nampenda sana yule mzee: kama bado anafanya kazi pale then anafaa kupongezwa sana na kuwezeshwa zaidi kwa kazi yake nzuri. Mzee anapofikia hapo pa "Dr. Livingstone....i presume!?" huwa ndio naona raha ya Kigoma (mwisho wa reli). Karibuni ujiji.
gadafi noma,hizi kwa nini viongozi wa africa msiwe majasiri kama gadafi,japo nchi za western wanamuita dikteta lakini jamaa nakubali ndani ya nchi yake na africa kwa ujumla,kawatoa wananchi wake kwenye umasikini japo aliwekewa vikwazo na nchi za ulaya na marekani,only mafuta lakini kaweza kuibadili nhi yake,na kuitetea africa bila woga,sisi umeshabadili marais wanne,tuna dhahabu,almas,tanzanite,gesi,ardhi yenye rutuba,bahari kubwa kuliko nchi yeyote africa mashriki na kati,maziwa makubwa yote duniani yako hapa,population kubwa ya watu,tena vijana,lakini wapi,tunasikia tu awamu a kwanza,pili,tatu,nne,baada miaka 5 ya 5.
ReplyDeleteNimekumbushwa mbali sana na mtoa maoni wa kwanza na watatu. nilipofika kigoma mara ya kwanza mwenyeji wangu alinitembeza pale ujiji kwenye makumbusho ya livingstone. Na mimi kila mgeni aliyekuja kunitembelea kigoma nilimtembeza pale na mara zote ni yule mzee ndie aliyekuwa anatoa maelezo ya kiswakinge chake. Ilifika wakati nikawa nafahamu hata sentensi inayofuata kabla hajatamka hahahaa!! yule mzee alimeza historia yote!!!
ReplyDeleteJK MAAFISA WAMEJITAHIDI SANA KUCHOMA ZILE SILAHA ZA BUNDUKI "MAGOBORE" NA NYINGINE ZA JADI. LAKINI ONGEA NA WAZIRI WA MAMBO YA MAZINGIRA AWEKE UTARATIBU WA KITAALAM WA KUTEKETEZA/KUCHOMA VITU. NI MARA NYINGI SANA MNAJICHOMEA VITU HOVYO HOVYO TU KAMA NDANI YA UWANJA WA "MPIRA/MICHEZO".UTASHINDA UCHAGUZI HUITAJI VIZURI TUU.. KUJINADI KWA JINSIA ZISIZOKUWA NA UTARATIBU WA KITAALAMU....
ReplyDeleteMtoa mada ya kwanza abt Ujiji ni huyohuyo anajisimulisha kujifanya story yake ni sensitive
ReplyDeleteyuko mmoja tu anajiongelesha kwa kutoa koments tofautitofauti
wala sio kuwa mto maoni ni huyo huyo kuhusu ujiji, nakwambia karibu ujiji ujionee
ReplyDelete