
JK akifunua kitambaa kushiria kuzindua rasmi mradi wa maji wa Mugumu Serenget uliofanyika katika bwawa la Manchira, Mugumu,wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara leo asubuhi.
akikinga maji kwa ajili ya mkazi wa Mugumu Bi Mariam Chacha Matiku muda mfupi baada ya kuzindua rasmi mradi wa Mugumu, Wilayani Serengeti, Mkoani Mara.Wapili kushoto ni Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na kulia ni Mbunge wa Serengeti Dr. Wanyancha
JK akimtwika maji mkazi wa Mugumu Bi Mariam Chacha Matiku muda mfupi baada ya kuzindua rasmi mradi wa Mugumu, Wilayani Serengeti, Mkoani Mara. Wa pili kushoto ni Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na kulia ni Mbunge wa Serengeti Dr. Wanyancha.Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu


Maana yake ni kwamba tunaona ni kawaida maji kubebwa kwenye ndoo kichwani.
ReplyDelete