Home
Unlabelled
JK ziarani urambo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DU!JK URAMBO PICHA MOJA TU!NO PICHA INAYOMUONYESHA JAPO MBUNGE WA SEHEMU HUSIKA,HEBU WEKENI PICHA YA MH.MBUNGE WETU ALAA!MZIGO MZITO MPENI MNYAMWEZI ATAUBEBA TU
ReplyDeletenaomba kuuliza, wabunge wote wanakaa dar, then wanajengewa ofisi ya sh.milioni 170 huko jimboni ambako huwa wanakaa muda mchache sana, wangejenga hata ofisi ya sh.milioni 10 angalau,kwanini hizo hela zisingefanyiwa kitu kingine cha maana zaidi kwa mfano kuboresha huduma za afya, bado kinamama wajawazito na waliojifunguawanalala chini mahospitalini,inasikitisha sana.
ReplyDeletemdau USA
Huu tunaambiwa ni wakati wa kuminya matumizi ya serikali!
ReplyDelete"Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 Million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika kila majimbo yote nchini."
Hivi tuna wabunge wangapi nchini?
Halafu ufanye hesabu...na huku shule za kata zikidorora...wanafunzi wanakalia mawe na kuumiza matako yao!
Mdau wa USA,
ReplyDeleteMbona USA Senetors na Congress men/women wanakaa D.C? Mbona wengi wana ofice D.C na kule kwenye majimbo yao wanayotoka. Kwa mfano senetor wa Illnois ana Ofisi D.C na pia kwao Illnois. Na muda mwingi ukienda kwenye ofisini kwake Illnois unakuta staff aide ambao wanaweza kukushughulikia mambo yako chap chap.
Je hauoni hizi ofisi zitawafanya wananchi wawe karibu na wabunge wao?
WEe acha umbeya unayesema masenator wanakaa DC yes kweli 100% wanarent huko DC...lakini kwetu hawakai Dodoma wanakaa Dar you get the difference..Ni kama masenator wote wakae NY city have you seen that ...Kaa kimya kama kitu hujui aliyeuliza kasema kweli all that money for the building that no one will use it...I hope they will use as something for the villagers to go and rest if they need a break from their boiling mud huts in that kind of weather we have.
ReplyDeletejamani office na nyumba ni tofauti !! office hina weza kuwa ndani ya nyumba hila nyumba haiwezi kuwa ndani ya office !! hapa wanazo zungumzia ni nyumba !!got ma point. wabunge wanapenda sana umwinyi wakati kazi awapendi kufanya ! hizo pesa bora wa wanunulie wanafunzi madawati
ReplyDeleteJamani hebu tumieni busara. Munalinganisha ofisi za maseneta wa Marekani na wabunge wetu?. Kuweni na taswira halisi ya mambo si mulinganishe nchi mbili ambazo hazilingani kwa aina yeyote. La msingi ni labda kupunguza gharama za hizo ofisi kwani fedha hizo ni nyingi sana ukilinganisha na hali yetu kifedha.
ReplyDeleteWee mdau wa Tarehe Thu Jul 15, 12:47:00 AM,
ReplyDeleteAsante sana. Wape vidonge vyao hao. Wamezidi kuchonga!!
MIJITU ISIYO NA UJUZI KUHUSIANA NA GHARAMA ZA UJENZI UTAYAONA TUU. ETI OFISI YA MILLIONI KUMI IANTOSHA. HIVI UNAJUA KWAMBA MILIONI KUMI HAITOSHI HATA KWA KUFANYA FINISHING YA NYUMBA YA KAWAIDA YENYE VYUMBA VITATU?
ReplyDeleteJamani ya Marekani yaachwe huko huko Marekani! Hata Wamarekani wakiwa na ofisi za madiwani potelea mbali coz they can afford it na at least matatizo ya kimsingi ya wananchi wao yanaangaliwa. Sasa nchi ambayo wananchi wake kuwa na maji safi ya kunywa bado ni ndoto kweli tunahitaji majengo haya? Hivyo vituo vya afya tu kwenye ngazi ya chini bado ni vichekesho kweli tunaongelea miradi kama hii ambayo kimsingi anaangaliwa mtu mmoja tu katika kila jimbo la uchaguzi rather than wananchi walio wengi? Na je, ukaaji wa hao waheshimiwa huko zinakojengwa ofisi za gharama hizi ukoje? (Wote tunajua makazi yao yalipo) Mimi nilifikiri tunapoambiwa tufunge mikanda kwa kuwa serikali haina pesa inakuwa imemaanishwa! Waheshimiwa mko serious kweli wenzetu?
ReplyDeleteAnkal, please don't bana this, acha tusio na pa kusemea tuseme yanayotukera...
jamani nimempenda yule mbunge wa kushoto abulkarim yaani ana body nzuri kweli halafu ni msafi yaani napendaga disaini za namna hii
ReplyDeleteNaona mila,desturi na tamaduni za makabila zimepoteza muelekeo.nini hasa maana ya kuwa mtemi au chifu wa kabila fulani?
ReplyDeleteNi mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi wa mila wa kabila lolote alipendalo nchini?
Nadhani rais wetu ana majukumu mengi sana,haya ya kuongoza makabila tuwaachie wahusika wengine.
Badae tutasikia kabadilishiwa kabila.
NADHANI SASA HII NI CV YAKE
Rais wa jmhuri ya muungano wa tanzania,amirijeshi mkuu,chifu wa wasukuma,mtemi wa urambo,mangi wa kibosho,mwenyekiti wa ccm taifa dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
Nijuavyo Mimi, Mpango wa serikali ni kweli wanajitihada ya angalau kumwezesha kila mbunge kuwa na Ofisi katika majimbo yao angalau kuwe na sehemu ya kukutana na wananchi wao pamoja na wageni mbalimbali tofauti na sasa ambapo mbunge akipata mgeni wanakutana Hotelini au nyumbani. Na pia mpango wa serikali sio kujenga ofisi hizo kwa gharama ya Tsh 170. JK Mwenyewe (Fuatiliana News za Jana) kawaasa wabunge kuwa serikali haitajenga Ofisi zote kwa kiwango cha Ofisi ya Mbunge wa Urambo. Ule ni upendeleo pekee kwa Mbungu huyo kwa nafasi yake aliyonayo ya Uspika. ambayo anaamini atashinda tu katika Uchaguzi ujao na kurudia kiti chake.
ReplyDeleteLakini pia Mbunge kuwa na ofisi ni muhimu kwa kuwa hata kama atakuwa dsm, ofisi haiwezi fungwa! watumishi wapo. mfano mzuri ni kwa watani zetu Kenya ambako mbunge anaofisi Bungeni na Jimboni (Nzuri) tofauti na sie ukitaka kumuona mbunge wako Dodoma ni ama mkutana kanteen au umvizie akiwa anatoka mjengoni! Nadahani uwamuzi wa serikali kwa hili ni poaaaaaa
Mdau toka Umatumbini.
Mbunge kuwa na ofisi jimboni ni muhimu sana. Kama ni mwakilishi mzuri anatakiwa apate muda wa kukaa jimboni na kujitahidi kusikiliza na kushughulikia na kuyapeleka kunako husika matatizo ya watu wake. Labdo hapo swala la gharama za ujenzi ndio liangaliwe ila kuwa na ofisi ni hatua nzuri.
ReplyDeleteASANTE BWANA BLOGGER KWA KUSIKILIZA KILIO CHANGU SASA NIMEZIONA PICHA ZA MBUNGE WANGU WA URAMBO ZA KUTOSHA HUMU NDANI,INATIA MOYO SANA KUONA MNAJALI MAONI NA VILIO VYA WANAJAMII.IDUMU DAIMA MICHUZI BLOG,ANAESEMA IFE AFE YEYE KWANZA
ReplyDeleteHongera mh.JK kwa kufanya ziara Tabora ambako mimi binafsi nahisi ndio kwenu,kwa kuwa huo mwili ulionao si mwili wa kikwere huo ni mwili wa kinyamwezi,wakwere ni watu ambao miili yao huwa midogo midogo,hilo lako ni dongo la kinyamwezi pure
ReplyDeleteTatizo hapa ni priorities. Jk na utawala wake hawajui prioritization kabisaaaa. Unajenga ofisi kubwa hivyo ya kisasa wakati hosipitali na shule za huko Urambo ni zakujikongoja. Kwanini usijenge simple office kwakutumia cheap resources hata ikiwa ni kubadilisha contena iwe ofisi alafu hela nyingine tumieni kwa maendeleo mengine.Hapo utakua umeua ndege wawili jiwe moja. Yaani I real don't get it. Michuzi usiibanie hii.
ReplyDelete