
Ni dhahiri kwamba kocha huyo atakumbukwa kwa kazi yake aliyoifanyia Tanzania japokuwa bado kuna wadau wa soka ambao wanasema hakufaya kitu ila tunaojua kusema asante tunasema Maximo amefanya kitu kikubwa katika soka letu lililokuwa la kichwa cha Mwendawazimu enzi hizo, na anastahili kupongezwa mpaka hapa alipotufikisha manake kuna methali inayosema "Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni"
Yote kwa Yote tunasema Watanzania tunajifanya tunajua sana mpira wakati kujua kwetu kuko vinywani zaidi kuliko vitendo na kama ndiyo hivyo basi tukubali kwamba hatujui jamani.
kwa chanzo na picha na habari zaidi
Tanz 1 Brasil 5
ReplyDeleteTanz 1 Egypt 5
Rwanda 1 Tanz 0
Rwanda 2 Tanz 0
Yemeni 2 Tanz 1
Cameroon 2 Tanz 1
Tanz 0 Msumbiji 1 (uwanja mpya wa taifa)
Record kenge hii
nenda salama ulipo tufikisha si haba mpaka nasisi leo tunaongea watakae kuponda sio wana michezo tuna thamini mchango wako.
ReplyDeleteSisi watanzania maneno mengi lakini mpira hatujui, Ni kama vile waingereza walivyo kubwabwaja kwingi wakiingia uwanjani wanakula magoli
ReplyDeleteUliyeandika matokeo ya kufungwa hujui kitu nyamaza, kama hutanyamaza andika na ya kushinda basi, au andika na yakufungwa ya miaka miwili ya kabla hajafika Maximo.
ReplyDeleteUtakuta Ushelisheli, Somalia, Djibout, na viji-team fulani vilitufunga sana tu. Mkiendekeza fitina na majungu hata aliyekuja mtasema hana kitu wakati ana record kubwa tu. Waswahili bwana!!!
Ndio hao wakiona kwa jirani wanakula nyama mara samaki ananuna!!
ReplyDeleteHao waliokuwa wanapika majungu mbona hizo form za kuomba kuifundisha timu hawakuchukua? Soka ni science!
we fala hapo juu mbona umechagua rekodi za kuweka
ReplyDeletekuna nyingi za mafanikio.
tan 1 bukinafaso 0
tan 1 senegal 1
tan 1 cameroon 1
tan 2 uganda 1
tan 3 kenya 1
kima wewe,kazi chuki binafsi tu,muache maximo wa watu arudi nyumbani.
huyo mjinga aloweka rekodi za kumponda maximo lazima ni chadema,maana ndo kila kitu kwao mavi tu,hata ufanye nini wanapinga tu.
ReplyDeleteWe kenge, mbona mechi ya new zeland huitaji? Mechi tulizoshinda na kushiriki kwa wachezaji wa nyumbani husemi? Vijana wa Ghana wanavyofurahisha ni kwa kuwa watu wao ni wavumilivu kwa kocha na wamamwelewa. Sisi tutabakia kushangilia wengine na kujifanya wajuaje. Hapa hata aje wenger au mourinho, kazi bure tu. Sababu ya watu kama wewe.
ReplyDeleteWabongo tumesahau kabisa mpira kabla ya Maximo ulivyokuwa mmbaya.Tatizo tunataka mabadiliko overnight kitu ambacho hakiwezekani. Lazima tujifunze kuandaa mafanikio kwa kupanga program za muda mrefu. Maendeleo ya jamii bongo yanapimwa na idadi ya maghorofa wakati miundo mbinu ni ya nyumba za udongo. Maandlizi ya wachezaji yanaanzia utotoni , si mazoezi tu bali hata lishe. Wachezaji walioshupaa kwa kukosa malazi hawana nafasi kwenye dunia hii ya leo ya michezo.
ReplyDeleteFungua macho.
maximo ameinua soka kiasi kwamba hata kenge said anafuatilia matokeo siku hizi ingawa anafuatilia matokeo mabaya tu, enzi za kichwa cha mwendawazimu alikuwa hafuatilii soka kabisa! kama anabisha mwambie atoe data nzuri za enzi ya kichwa cha mwandawazimu.
ReplyDeleteThe Brain.
Afadhali aondoke bwana, Serikali na Taasisi mbalimbali zilijitahidi kutoa misaada ya hali na mali lakini Maximo alishindwa kutufanya tujivunie taji angalau hata moja la ubingwa wa Afrika Mashariki katika kipindi cha miaka 4 aliyokaa Bongo. Hoja kwamba tulikuwa nyuma si sahihi, mbona zamani bila ya Maximo kombe la Afrika Mashariki tulikuwa tunachukua? Hakuna kitu alichofanya zaidi ya kuturudisha nyuma tu. Fedha zilizokuwa zinatolewa na Serikali na Taasisi kadhaa ndizo zilizokuwa zinaifanya timu kujikongoja siku moja moja. Katika kiwango cha FIFA tumeendelea kuporomoka kwa sababu ya ukuda wake Maximo.Mimi binafsi simfagilii kabisa. Ngoja tumuone kocha mpya kama hatokuwa mkuda kama Maximo tutafika tunakokutaka sisi tunaojua soka.
ReplyDeleteNadhani huyu bwana ataikumbuka sana Tanzania kwa "uvumilivu" usiopimika, hasa baada ya kuona makocha wenzake waliofungwa ktk kombe la dunia wanavyofanya.
ReplyDeletewe anoy wa kwanza mwogope Mungu usitanganye umma Egypt hawajawahi kucheza na staz iliyofungwa 5 na timu ya egypt ni simba sc
ReplyDeletemaximo nenda mwalimu nenda sisi waungwana tunakushukuru kabla yako hatukuijua hata jesi ya timu ya taifa lakini sasa kila anayeenda ulaya katika vitu anavyokumbuka kubeba ni pamoja na jesi ya timu ya taifa
Si mfuatiliaji sana wa mpira wa Tz,sabu sipo hom kwa5yrs sasa,ila jinsi ambavyo nimekuwa nikiiskia Staz si sawa na nlipokuwa Tz,ya sasa naiskia most frequently in best ways even zoo niko far frm source of in4mations,naamini now2ko beta zan wher We wer b4zis Man kem,yes4sure!!
ReplyDeleteAfu kuna jamaa anaongelea kuwa kipindi Serikali na Taasisi mbalimbali zinatoa misaada Staz ilikuwa fresh zoz tmz,sa'kwanini asiombe ukocha hata yeye ili akafanye kazi yenye mafanikio ya ushindi chini ya hizo fedha zen!!?
Nakubaliana na wadau wanaokubali mafanikio since aje Maximoz!!!!
Huyu bwana kwa kweli mimi naona amaeleta mabadiliko makubwa saaaana katika soka la nchi nchi yetu.kabla hajaja taifa stars ilikuwa ikiitwa kichwa cha mwendawazimu lakini alipokuja ,hata nchi zingine za Africa zilikiri kwamba soka yetu imebadilika na kupnda ghafla.Kwa hiyo ni bora tuwe waungwana na kudhamini mchango wa huyu bwana kwani ipo siku tutamkumbuka tuuu.Mtihani ni kwamba, je huyu kocha mpya ataendeleza libeneke mbele kwa mbele pale ambapo maximo ameepaachia?
ReplyDelete