madogo wakiwa wamedandia gari kwa nyuma huku wakiwa hawana wasiwasi hata kidogo wakati gari hilo likiwa katika mwendo.hii tabia imekuwa ikifanywa na watoto wengi sana hapa jijini watokapo sehemu moja kwenda nyingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    Hivi Ankel, namna hii ikitokea bahati mbaya wanadondoka tutaita ajali? Na kuna la Driver kuwajibishwa katika hali ya namna hii? Hala atanyang'anywa leseni drive kuwa amesababisha ajali?

    Napendekeza watoto wa aina hii wakamatwe na kuhukumiwa kwa sheria sawasawa na ambavyo mtu hata akigongwa na train anahesabika ameigonga train. na watiu wa aina hii waadhibiwe kwa sababisha/kutaka kusababisha ajali ndipo wataacha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2010

    Bongo tambalale jamani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2010

    Wataendelea kufungua mabucha kila kukicha watu kama hao! Hapo wakipetwa kidogo tu ni kwenye lami ........tuliiii!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2010

    Sasa hapo bahati mbaya waanguke, halafu kuwe na gari nyingine inakuja kwa kasi,sijui nani atalaumiwa! Vichwa vingine madafu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...