Malkia Elizabeth II akihutubia Umoja wa Mataifa jijini New York mapema wiki hii
Wawakilishi wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa huko New York wakimsikiliza Malkia Elizabeth II alipohutubia Umoja wa Mataifa. Tomka kulia ni sfu ya mbele ni Mh. Balozi Dk. Augustine Mahiga, Bi Joyce Kafanabo na Ndugu Justin Seruhere. Kutoka kushoto safu ya nyuma: Ndugu Omar Mjenga, Ndugu Modest Mero, Bi Tully Mwaipopo na nyuma ya Balozi Mahiga ni Bi. Maura Mwingira.
Malkia Elizabeth II akisubiri kuhutubia Umoja wa Mataifa
Ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2010

    Why the keep worshiping the Queen ?? mimi sioni faida yake zaidi ya kula na kutajirika na pesa za taxis za wana nchi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2010

    Mdau wa kwanza ya mambo ya waingereza waachie wenyewe.

    Ufalme ni utambulisho wa waingereza kama nchi. Wenzetu wanajali utamaduni wao tofauti ni sisi.

    Mbona kuna mambo mengi Tanzania yako ovyo ovyo na yanaabudiwa kama vile ufisadi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2010

    Malkia ni Head of State wa United Kingdom, ingawa si Head of Government. Sisi Rais wetu ni Head of State and Government.

    Waachie wa United Kingdom wenyewe!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2010

    Malkia ni Head of State wa United Kingdom, ingawa si Head of Government. Sisi Rais wetu ni Head of State and Government.

    Waachie wa United Kingdom wenyewe!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2010

    Dogo,
    Ni taxes na sio taxis. Pili, huo ni utamaduni wao waingereza. Sie Mwalimu alipochukua nchi aliona ma chifu na watemi watamzidi nguvu na akawavua madaraka yao kiubavu ubavu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2010

    Do not worry about the Queen or the UK.We must be greatfull to them because they are financing us and thats why we are driving shangingis vx and BMWs.God bless the QUEEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...