FAMILIA YA SHEIKH INATOA SHUKRAN KWA GLOBU YA JAMII KWA KUTANGAZA HABARI YA KUPOTEA KWA MTOTO SHEIKH MOHAMED AMBAYE ALIETOWEKA NYUMBANI TAREHE 06/07/2010 GHAFLA MAJIRA YA SAA 6 MCHANA.TUNAISHUKURU SANA GLOBU YA JAMII PAMOJA NA WADAU WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA MTOTO HUYU.
SHUKRANI SANA KWA WOTE.
mtueleze basi alipatikana wapi ili tuwe na moyo wa kuwatafuta wengine wakipostiwa huku.
ReplyDeletea) aliibiwa
b) alitoroka
c) alipotea njia
d) none of the above
Dogo alikuwa mitaa ya kati anakula chipsi yai.
ReplyDeleteheeeeeeee!
ReplyDelete