Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ha ha ha, mkuu wa FIFA kapita Bagamoyo kumuona fundi, well done mkuu, hata fundi anakubaliana na mawazo ya wengi, lol
ReplyDeleteHao wanaolilia goal line technology usidhanie ni wapenda soka, ni wauza teknolojia hiyo. As far as they are concerned, soccer is an untapped market.
ReplyDeleteViva Blatter. Mpaka ligi ya bara itakapokuwa na uwezo wa kuwa na teknolojia hizo tuendelee hivyo hivyo kiugumuugumu.
namchukia blatter kuliko suarez.
ReplyDeleteni dictator. mpira ni mchezo mzuri wenye viongozo wzliooza.
hiyo tekno hatutaki kwenye mpira wa miguu. kaani mkijua huu ni mchezo na kama kungekuwa na tekno waingereza wasingekuwa wanamjua diego kama wamjuavyo sasa.ireland na ufaransa hakuna mtu angekuwa anauongelea juu ilikuwa ni gemu dogo sana. ska itakuwa kama rugby.je kimanzi chana tutakuwa tunafuata sheria zipi? lakini utamu wa soka ni kuanzia marakana, wembley old taffold, uwanja wa fisi hadi highbury(emirate si uwanja) wanatumia sheria moja mungu mtu katikati kwa dakika 90
ReplyDeletehao lazima watakua waingereza maana nao yameshawakuta mwka huuuuuuu ,,,poor them,, great names poor futball
ReplyDelete