Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Luis FabianoJuly 08, 2010

    ha ha ha, mkuu wa FIFA kapita Bagamoyo kumuona fundi, well done mkuu, hata fundi anakubaliana na mawazo ya wengi, lol

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    Hao wanaolilia goal line technology usidhanie ni wapenda soka, ni wauza teknolojia hiyo. As far as they are concerned, soccer is an untapped market.
    Viva Blatter. Mpaka ligi ya bara itakapokuwa na uwezo wa kuwa na teknolojia hizo tuendelee hivyo hivyo kiugumuugumu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    namchukia blatter kuliko suarez.
    ni dictator. mpira ni mchezo mzuri wenye viongozo wzliooza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    hiyo tekno hatutaki kwenye mpira wa miguu. kaani mkijua huu ni mchezo na kama kungekuwa na tekno waingereza wasingekuwa wanamjua diego kama wamjuavyo sasa.ireland na ufaransa hakuna mtu angekuwa anauongelea juu ilikuwa ni gemu dogo sana. ska itakuwa kama rugby.je kimanzi chana tutakuwa tunafuata sheria zipi? lakini utamu wa soka ni kuanzia marakana, wembley old taffold, uwanja wa fisi hadi highbury(emirate si uwanja) wanatumia sheria moja mungu mtu katikati kwa dakika 90

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2010

    hao lazima watakua waingereza maana nao yameshawakuta mwka huuuuuuu ,,,poor them,, great names poor futball

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...